Kauli za Chalamila zinazua maswali mengi

Hapa tunaweza kuwa tukakubaliana kwenye kufikiria vyema. Ila haiondoi ukweli wa kile ambacho yeye kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Mwanza anaweza kuwa alikuwa anakijua kuhusu watu wa Mwanza.
Mwenzie Mongera hakuliona hilo lkn yeye kafika wiki mbili tu tayari!
 
Tabia za Chalamila kama za mwendazake tu kashindwa kujizuia kaamua kujilipua Mama kamla kichwa.
 
Serikali iwe makini linapokuja suala la kupata viongozi

Vinginevyo Polisi na wanausalama wetu wataumia bure tuu kutumikishwa hata Kwa mambo yasiyo na haki
Madaraka hayamfai mtu mshamba.Wakiishia jela akili zitawarudi.
Unapokuwa kiongozi hakikisha unaboresha mazingira ya jela Ili kesho ukiwa jela ulale pazuri.
 
Kwa sababu Chalamila ni Petrol.

Sema ni mpumbavu sio petrol

Kiongozi asiyeweza kujizuia ni Kama Mnyama hutumia hisia zaidi kuliko akili.

Na hapo ndipo upumbavu hujitokeza.

Kiongozi asiyeweza kujizuia huweza kutumia mamlaka yake vibaya na kutumia nguvu hata kwenye mambo madogo kabisa.
 
Madaraka hayamfai mtu mshamba.Wakiishia jela akili zitawarudi.
Unapokuwa kiongozi hakikisha unaboresha mazingira ya jela Ili kesho ukiwa jela ulale pazuri.

Naam Mkuu.

Kutumia hisia zaidi kuliko akili.

Umetaniwa kidogo na Vijana unawaweka Ndani,
Umechekwa kidogo unarusha ngumu, sasa hio ni akili au matope
 
Kuna swali moja umeshindwa kujiuliza kuwa huyu ni mkuu wa mkoa na ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Mkoa. Mchukue yeye na kila kitu kuhusu yeye kama upumbavu Ila mbakizie tu hiyo nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa na itafakari kauli yake chini ya nafasi hiyo.
Mkuu unamaumivu makali saba. Pole kwa kuondokewa na mwendazake naona ulipotea nakususa kabisa. Rudisha basi ile avatar picha yako ya nyani anatembea kwa maringo
 
Sema ni mpumbavu sio petrol

Kiongozi asiyeweza kujizuia ni Kama Mnyama hutumia hisia zaidi kuliko akili.

Na hapo ndipo upumbavu hujitokeza.

Kiongozi asiyeweza kujizuia huweza kutumia mamlaka yake vibaya na kutumia nguvu hata kwenye mambo madogo kabisa.
Mkuu kwenye hili tunakubaliana kabisa. Lakini kauli yake tuichukue kama ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa. Kama mtu ambaye pamoja na upumbavu wake kuna watu walikuwa wanaripoti kwake taarifa nyeti kabisa za mkoa. Tatizo hapa siyo kile alichokuwa anakijua. Tatizo ni kukosa kwake busara na kuja kukiropoka hadharani. Lakini angalau ametusaidia kujua fikira za hawa washamba wa Mwanza.
 
Mkuu unamaumivu makali saba. Pole kwa kuondokewa na mwendazake naona ulipotea nakususa kabisa. Rudisha basi ile avatar picha yako ya nyani anatembea kwa maringo
He he he he he mkuu naona wewe mzee naona wewe ndo umevurugwa maana naona umebadilisha hadi jina mkuu. Nipo mkuu sema Sasa hivi niko busy na uzi wa kulana kimasihara😂😂😂😂😂.
 
Mkuu kwenye hili tunakubaliana kabisa. Lakini kauli yake tuichukue kama ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa. Kama mtu ambaye pamoja na upumbavu wake kuna watu walikuwa wanaripoti kwake taarifa nyeti kabisa za mkoa. Tatizo hapa siyo kile alichokuwa anakijua. Tatizo ni kukosa kwake busara na kuja kukiropoka hadharani. Lakini angalau ametusaidia kujua fikira za hawa washamba wa Mwanza.

Naam Mkuu

Ikizingatiwa pia waliokuwa wakimpa taarifa walimkuta Kama mfuasi wa mwendazake
 
Hapana, I feel sad for his wife, ningekuwa mke wake ningemuacha mchana kweupe
Tena ninashauri kabla hajamuacha amchangie yeye na watoto wake wampige, tena wampige kisawasawa, ameikosesha familia asali na siagi kwa mambo ya kipumbavu sana!!!
 
Mkuu kwenye hili tunakubaliana kabisa. Lakini kauli yake tuichukue kama ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa. Kama mtu ambaye pamoja na upumbavu wake kuna watu walikuwa wanaripoti kwake taarifa nyeti kabisa za mkoa. Tatizo hapa siyo kile alichokuwa anakijua. Tatizo ni kukosa kwake busara na kuja kukiropoka hadharani. Lakini angalau ametusaidia kujua fikira za hawa washamba wa Mwanza.
Hayo maneno washamba wa Mwanza ndio huwa petrol inayoanzisha uhasama baadae.

Rwanda ilichafuka 1994 kwa maneno machache tu kama hayo.

Kule ulaya mashariki kwa kina Albania kulichafuka kwa maneno machache tu.
 
Back
Top Bottom