Kauli za Chalamila zinazua maswali mengi

Hii inawezekana Tz tu.,no Kama swali langu....hivi ilikuwaje Mwigulu akakwea pale alipo!
 
What a bogus guy. He deserved to be fired from the Office
 
Kwani hukuwahi msikia mwendazake akiwaambia watu wa Mwanza, akielezea kuwa anawateua "wehu" wenzake kwenye serikali yake?

Hivi unadhani kweli "upstairs" zake ziko sawa huyu Chalamila??
Umeweza vipi kumjudge mtu Ni mwehu aisee.kuna watu chuki zitawapeleka pabaya
 
Mkuu:
Kiongozi yeyote yule anaye ongoza watu ni lazima atumie hekima na busara katika uongozi wake, na hii inathibitika pale anapo toa kauli zake, hapo ndipo kipimo cha uwezo wake kinapojulikana. JK aliwahi kusema akili za kuambiwa changanya na zako.
 

Bado List ipo mkuu
 
Chalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli?
Labda kwenye pombe maana alikuwa anahamasisha sana watu kwenda kunywa pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…