Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kama kuna mtanzania anadhani hilo li nonsense ni kwa ajili ya waziri basi amepotea.Ungesikiliza alichokisema huyo Waziri usingeandika ulichoandika. Ilikuwa ni msimamo wa Serikali wala siyo wa Waziri kuwa sukari itaagizwa tu na wenye viwanda kuziba pengo la sukari inayozalishwa nchini na mahitaji ya nchi. Waziri alikuwa anasimamia maamuzi ya Serikali kumuita nonsense ni kuitukana Serikali nzima.View attachment 2027359View attachment 2027361
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hilo tusi ni la jumla jumla kwa baraza zima na watendaji woote na wananchi