Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

Kama kuna mtanzania anadhani hilo li nonsense ni kwa ajili ya waziri basi amepotea.

Hilo tusi ni la jumla jumla kwa baraza zima na watendaji woote na wananchi
 
Unatetea ujinga
 
Wanaume wanakuja wanajipigia vocal wakiondoka tunaanza kusikilizia madhara ya vocal zao.

Banana Republic
 
Profesa anazo sababu nzito za kujiuzulu, ili kulinda heshima yake, sijui bado anangoja nini?

Alishasema mwenyewe kuwa kama msimamo wake utapingwa ni bora angeachia ngazi!!! Akiachia ngazi atalinda heshima yake kwani kiuchumi uamuzi wake ni sahihi kwa kutaka nchi ijitegemee kwa uzalishaji wa sukari ili hali Hangaya anarubuniwa na Museveni na yeye anakubali badala ya kwenda na maamuzi ya Waziri Mkuu na waziri wake wa kilimo!!!

Halafu Hangaya akiitwa MUGYA nyie waimba Kwaya wake mnasema ametukanwa!!! Wajanja kama Museveni will take advantage ya UMUGYA wake!!!!
 
Kuna kipindi jiwe alitangazia umma wa watanzania kuwa alikuwa anamwambia waziri wake kuwa wewe ni mpumbavu.
..wewe Jamaal unapenda uzushi pia unaongopa kwa rejea feki.
 
Watu inabidi waseme kilichopo kwenye mawazo yao / wanachokiamini ukisema fulani anachofanya ni nonsense au upuuzi wala sio tusi kwake ni kuelezea alichofanya kwa mtizamo wako..., cha maana aliyeambiwa alichofanya ni upuuzi aweze kutetea alichofanya kwa hoja..., na aliyesema kwamba mwenzake amefanya upuuzi wala asikasirke siku na yeye akiambiwa anafanya upuuzi kwa mtizamo wa mwenzake
 
..wewe Jamaal unapenda uzushi pia unaongopa kwa rejea feki.
Hakuna uzushi hapo dunia yote ilisikia Jiwe akiwakashifu mawaziri wake Mpango na Kabudi hadharani bila kupepesha macho yake !! Usitake kupindisha ukweli.
 
Shwain
 
Daah! Kweli rais wa Tanzania ni zaidi ya Mungu aisee
 
Soma tena bandiko langu. Umekurupuka
 
Madaraka yanawapa kiburi.Ila acha yaparuane yenyewe kwa yenyewe maana hayakuingia madarakani kwa kura halali Bali wizi.
 
Wataendelea kutukanwa sana. Maan hawajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…