Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

Hapa kuna tatizo. Si kawaida Rais, Waziri Mkuu na Waziri kutofautiana wakati wote wanatumikia serikali moja na wana kila fursa ya kuweza kuwasiliana kabla ya kutoa msimamo. Naona hapa Rais amechemsha kweli kweli. Anaonyesha alivyo mtupu kwa kiwango kikubwa. Nadhani ingekuwa vizuri wahusika wote wajiuzulu. Nasema hivi kuepuka mmoja kutumia mamlaka yake kuwaumiza wengine. Hapa kuna tatizo. Rais hata hajui sheria inasema nini! Je anapata faida gani au amepewa kitu au hii biashara ni ya watu wake au ndugu zake?
 
Tofautisha mtu anaposema kauli hii ni ya kijinga na wewe ni mjinga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hapa kuna tatizo. Si kawaida Rais, Waziri Mkuu na Waziri kutofautiana wakati wote wanatumikia serikali moja na wana kila fursa ya kuweza kuwasiliana kabla ya kutoa msimamo. Naona hapa Rais amechemsha kweli kweli. Anaonyesha alivyo mtupu kwa kiwango kikubwa. Nadhani ingekuwa vizuri wahusika wote wajiuzulu. Nasema hivi kuepuka mmoja kutumia mamlaka yake kuwaumiza wengine. Hapa kuna tatizo. Rais hata hajui sheria inasema nini! Je anapata faida gani au amepewa kitu au hii biashara ni ya watu wake au ndugu zake?
 
Sasa unazuiaje sukari nje?, Kwani matokeo yake hujayaona? Viwanda vichache, bei ikapanda hadi sukari ikawa adimu kupatikana, acha mataifa mengine yajaze sukari nchini ushindani uwe mkubwa bei iwe chee!

Mama yupo sahihi kwenye hili. [emoji3581]
Sukari ya magendo ndo inaweza kushusha bei .. ikipita mfumo rasmi bei inabaki vile vile kutokana na sera ya sukari iliyopo.kama tunaruhusu uingizaji wa sukari ya nje basi na sie wa Mbeya turuhusiwe kuleta kutoka malawi ambayo ni bei nafuu kuliko ya Uganda.
 
Ashazoea jengo lile sasa
Hiyo ni dalili ya kulewa madaraka/mamlaka huwa na ndio kiashiria cha mwanzo wa mwisho wake, KISIASA na labda .........
Nabii Walwa Njozi wa Burigi
nae ilikuwa hivi hivi. Alijaa jeuri, kutukana na kuharibu waliopanga wateule wake, kukashifu yeyote hadharani. Ikulu kuhamia nyumbani kwake, wateule wakiapishwa mpaka uani.
 
Mama yupo sawa! Hoja ya kuzuia sukari ya nje haina mashiko! Maana viwanda vyetu bado havitutoshelezi.
 
Mimi namuachia Mungu
 
Hivi kuna vikao vingapi vya cabinet secretariat? Hivi mambo kama haya yasingeweza kumalizwa kwenye vikao vya baraza la mawaziri kwa amani badala ya kuja kuyasema huku nje na wananchi wakaanza kupigwa butwaa??
 
Bosi wa huyu bibi alikuwa anashikilia msimamo wa kukataza sukari kutoka nje na huyu bibi alikuwa anaunga mkono, leo jambo hilo limegeuka kuwa non-sense. Kesho litaeleweka na bibi mwenyewe atatoa kibali sukari ije kutoka nje lakini hatawaambia hadharani, non-sense!
 
Kasema nonsense wakati yeye wakati maamuzi yanafanywa alikuwa na kura ya turufu mkoni juu ya jambo hilo, je haikuwanosense yeye kuitumia ?
 
Kasema nonsense wakati yeye wakati maamuzi yanafanywa alikuwa na kura ya turufu mkoni juu ya jambo hilo, je haikuwanosense yeye kuitumia ?
Mmh! Nchi ngumu sana hii mkuu
 
Usiwaonee huruma CCM mkuu acha watukanane hadharani wanajua namna walivyoingia kimagumashi madarakan

Na Bado Sana utayaona mengi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hapana watz tujenge tabia ya kuheshimiana na kupendana.Mungu ametuasa tuwe na upendo.Na hizi kauli za kudharauliana hazileti tija,kila mtu anastahili kuheshimiwa bila kujali ana hadhi na wadhifa gani.nakumbuka kuna tajiri mmoja alisema hawezi kuongea na mbwa bali na mwenye mbwa kilichompata anakijua mwenyewe.
 
Mwndazake ameacha precedence mabya sana ambayo itadumu kwa muda.

Mama madaraka yashaanza kupanda kichwani ..... imagine achukue 2025 ..... si hapo kuna watu watamwagiwa #@&^%! ya nguoni kabisa!!
 
katiba mpya ndiyo upuuzi gani
 
Point yangu ni kuwa huyo Waziri alikuwa anasimamia maamuzi ya Serikali kuita kauli yake ni nonsense maana yake Serikali yote iliyoweka msimamo huo ni nonsense. Rais angemuambia tu Rais mwenzake kuwa tutanunua sukari toka Uganda,suala la kauli ya Waziri wake wangelimaliza internally.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…