SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Jee aliyeweka msimamo huo ni Waziri au Serikali nzima? Mama angeweza ku overrule kauli ya Waziri wake bila kui crush tena kwa lugha isiyo na staha.Mama yupo sawa! Hoja ya kuzuia sukari ya nje haina mashiko! Maana viwanda vyetu bado havitutoshelezi.
Muulize Hangaya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa BMK na JK aliyetoa zaidi ya B 350 kuandika hiyo Katiba Mpyakatiba mpya ndiyo upuuzi gani
Wewe ni wale mnaotakiwa kuitwa n..........eSasa unazuiaje sukari nje?, Kwani matokeo yake hujayaona? Viwanda vichache, bei ikapanda hadi sukari ikawa adimu kupatikana, acha mataifa mengine yajaze sukari nchini ushindani uwe mkubwa bei iwe chee!
Mama yupo sahihi kwenye hili. [emoji3581]
Vijana wana ubongo lakini hawautumii ubongo wao kwa mambo ya maendeleo bali kwa ushabiki.Daah! Mkuu ulinzi wa bidha za ndani unafanywa hata na mataifa makubwa. Sembuse hii dona kantre?
Na kazi iendelee.Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu.
Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili.
Hahahaha si ilisemekana itatumika kalamu, badala ya kufoka.Naona Kalam haiwezi kutoa wino sawasawa, inakwaruza🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daah! Prof Mkenda kadhalilishwa mpk namhurumia
Ni muda mwingi sasa umepita, viwanda vya ndani vimeshindwa kukizi hitaji la ndani. Toka sukari ipande kuwa 3000 kwa kilo imeshindikana kushuka. Hoja yako naiunga mkono kwa bidhaa ambazo si za lazima Sana kwa mahitaji ya kila siku.Wewe ni wale mnaotakiwa kuitwa n..........e
Tafuta ufumbuzi wa kutatua upungufu wa sukari ndani ya nchi yako. Ikiwa ni pamoja na kuongeza uzalishaji kwa viwanda vilivyopo na kuanzisha viwanda vipya.
Kuagiza sukari toka nje ya nchi na ikawa nchi hiyo ghalama za uzalishaji ziko chini sana kamwe viwanda vilivyoko nchini kwako havitaendelea. Na hiyo inakuwa ni kaburi la ajili nchini kwako. Fikilia kwa mapana zaidi mkuu acha ushabiki.
Hapa NONSENSE inamaanisha UPUUZU na siyo UPUMBAVUKatiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu.
Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili.
Rais Magufuli aliwaita mawaziri Dr. Philip Mpango na Prof. Kabudi WAPUMBAVU mbele ya hadhara. Wakapokea kauli hii kwa mikono miwili. Sote tukabakia tumeduwaa. Ni kwasababu hawakuwa na la kufanya mawaziri hawa. Walimwogopa "mungu" na malaika wake
Rais Samia ametamka hadharani kwamba uamuzi wa Prof. Mkenda kuzuia sukari toka nje ni NONSENSE. Sote tumebaki tumepigwa na butwaa. Hana la kufanya Prof. huyu akirogwa kujiuzulu "Mungu" ama malaika wake watamshughulikia.
Tuiangalie upya Katiba yetu inayomjenga mtu kuwa "Mungu".
Hizi heshima za kupewa ndio wanatufanyia mambo ya kikhanithi, mwingine anaenda kukodi software kwa bilioni 60+, huyu huku anataka kufanya sukari iwe shida.Waziri ni kiongozi na mtu mzima. Hapaswi kutwezwa utu wake. Fikra kama zako hazitakiwi ktk jamii maana zimejaa udikteta.
Uamuzi wa waziri kweli ni NONSENSE. NitaelezaKatiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu.
Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili.
Rais Magufuli aliwaita mawaziri Dr. Philip Mpango na Prof. Kabudi WAPUMBAVU mbele ya hadhara. Wakapokea kauli hii kwa mikono miwili. Sote tukabakia tumeduwaa. Ni kwasababu hawakuwa na la kufanya mawaziri hawa. Walimwogopa "mungu" na malaika wake
Rais Samia ametamka hadharani kwamba uamuzi wa Prof. Mkenda kuzuia sukari toka nje ni NONSENSE. Sote tumebaki tumepigwa na butwaa. Hana la kufanya Prof. huyu akirogwa kujiuzulu "Mungu" ama malaika wake watamshughulikia.
Tuiangalie upya Katiba yetu inayomjenga mtu kuwa "Mungu".
Katiba ya sasa imetoa nguvu kwa baraza la Mawaziri kumfukuza kazi rais anayefanya mambo kama hayo, ila hawajui kutumia nguvu hizo.Katiba yetu inampa Rais mamlaka makubwa sana nchi hii. Rais ni kama Mungu kwa mujibu wa katiba yetu.
Mawaziri wanatwezwa lkn hawana cha kufanya. Wakijuzulu "mungu" anaweza kutafsiri hatua hii kama dharau na kuamua kuwashughulikia. Wanalazimika kuipokea kauli ya "mungu mtu" kwa mikono miwili.
Rais Magufuli aliwaita mawaziri Dr. Philip Mpango na Prof. Kabudi WAPUMBAVU mbele ya hadhara. Wakapokea kauli hii kwa mikono miwili. Sote tukabakia tumeduwaa. Ni kwasababu hawakuwa na la kufanya mawaziri hawa. Walimwogopa "mungu" na malaika wake
Rais Samia ametamka hadharani kwamba uamuzi wa Prof. Mkenda kuzuia sukari toka nje ni NONSENSE. Sote tumebaki tumepigwa na butwaa. Hana la kufanya Prof. huyu akirogwa kujiuzulu "Mungu" ama malaika wake watamshughulikia.
Tuiangalie upya Katiba yetu inayomjenga mtu kuwa "Mungu".
Hiyo nguvu imepokwa na haipo. Waziri kateuliwa na rais huyo huyo. Anaweza kumtumbua kabla hakujapambazuka.Katiba ya sasa imetoa nguvu kwa baraza la Mawaziri kumfukuza kazi rais anayefanya mambo kama hayo, ila hawajui kutumia nguvu hizo.
Muwage mnacomment kwa kuchuja habari kwanza.Kama kuna mtanzania anadhani hilo li nonsense ni kwa ajili ya waziri basi amepotea.
Hilo tusi ni la jumla jumla kwa baraza zima na watendaji woote na wananchi
Kimsingi nchi yetu kwa sasa imejaa chuki za aina mbiliNaweza kusema ni serikali ya pipuuzi kwa kweli, how on Earth mtu kama Bashite, Sabaya et all wanakua viongozi wa umma tena kwenye ofisi nyeti, and then bado unajiita uko serious na unaupiga mwingi, tulipoacha kufuata maadili weledi na unyeyenyekevu pamoja na uzalendo wa kweli ndipo tuliharibu hii nchi, kuna watu mpaka sasa wamo lakini believe me hawakustahili hata kuwa wenyeviti wa vijiji Trust me
Mbona umemponda unayemjibu lkn ktk maelezo yako unaungana naye?Muwage mnacomment kwa kuchuja habari kwanza.