Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
"Lazima nikuroge" yaani niliishi Kwa stress sana ule mwaka, mambo yakienda kombo tu najiuliza au tayari Nini😬😬🤔Habari ya muda huu wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya
Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki naduwaa
"Najua mimi sio mzuri lakini huwez kumpata aliyebora kunizidi mimi"
je wewe ulipewa kauli gani ambayo hadi leo unaikumbuka?
UZI UENDELEE
Hyo kauli unaipta kipindi kile anaon hakuelew elewKauli zake unazipataje kama ni ex? Mnapenda sana kuwasiliana na watu waliopita mmegeuka viokote...kunusa huku na huko
Hahah half ukute anatokea ukanda wa Radi lazm kichwa kiwake moto🔥😀😀"Lazima nikuroge" yaani niliishi Kwa stress sana ule mwaka, mambo yakienda kombo tu najiuliza au tayari Nini😬😬🤔
Mmakonde babuuu hawa Wana vimbora za hatariHahah half ukute anatokea ukanda wa Radi lazm kichwa kiwake moto🔥😀😀
Kumbe! Wanasahau kuwa watu ni wepesi kusahauHyo kauli unaipta kipindi kile anaon hakuelew elew
Sa sijui ndo kutishana ama😄😄
Hahah unatumiwa radiMmakonde babuuu hawa Wana vimbora za hatari
Yaan ukishageuza mbichwa na maneno yake umemwachia pale pale😀😀😀Kumbe! Wanasahau kuwa watu ni wepesi kusahau
Hutokuja kupata atakayekupenda zaid yangu[emoji23]Habari ya muda huu wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya
Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki naduwaa
"Najua mimi sio mzuri lakini huwez kumpata aliyebora kunizidi mimi"
je wewe ulipewa kauli gani ambayo hadi leo unaikumbuka?
UZI UENDELEE
KabisaYaan ukishageuza mbichwa na maneno yake umemwachia pale pale😀😀😀
Naukampata😀Hutokuja kupata atakayekupenda zaid yangu[emoji23]
Haha hilo jiwe lazm lkupe hasira za maisha😀Kubwa zima unakaa nyumba ya urithi,wenye umri wako wanamiliki makampuni
Haha hilo jiwe lazm lkupe hasira za maishaKubwa zima unakaa nyumba ya urithi,wenye umri wako wanamiliki makampuni
Na kwenu hamnaga hata mchawi😀😀😀😀mbwa wewe,mchawi mkubwa
Hilo tusi nalishukuru sana liliniamsha usingiziniHaha hilo jiwe lazm lkupe hasira za maisha😀
Ukajua na wew jina lmeingia kweny kitabu cha kumbukumbu😀😄😄😄Mimi sio wa kwanza kukuacha