Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
Habari ya muda huu wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya
Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki naduwaa
"Najua mimi sio mzuri lakini huwezi kumpata aliye bora kunizidi mimi"
Je, wewe ulipewa kauli gani ambayo hadi leo unaikumbuka?