Kauli za Ma Ex

Kauli za Ma Ex

Eleminator

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2022
Posts
597
Reaction score
975
Habari ya muda huu wana JF,

Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya

Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki naduwaa
"Najua mimi sio mzuri lakini huwezi kumpata aliye bora kunizidi mimi"

Je, wewe ulipewa kauli gani ambayo hadi leo unaikumbuka?
 
Habari ya muda huu wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya
Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki naduwaa
"Najua mimi sio mzuri lakini huwez kumpata aliyebora kunizidi mimi"
je wewe ulipewa kauli gani ambayo hadi leo unaikumbuka?
UZI UENDELEE
"Lazima nikuroge" yaani niliishi Kwa stress sana ule mwaka, mambo yakienda kombo tu najiuliza au tayari Nini😬😬🤔
 
Habari ya muda huu wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya
Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki naduwaa
"Najua mimi sio mzuri lakini huwez kumpata aliyebora kunizidi mimi"
je wewe ulipewa kauli gani ambayo hadi leo unaikumbuka?
UZI UENDELEE
Hutokuja kupata atakayekupenda zaid yangu[emoji23]
 
Back
Top Bottom