Kauli za Ma Ex

Aliniambia nikipata mwanamke mkali kumzidi nimwite mbwa, amekaa paleeee[emoji1787]

But guess what, niko nafatilia form ya umiss Tanzania ya shemeji yenu 2023[emoji2960]
Hizi taarifa akizpta lazm kchwa iwake moto upande mmojaπŸ˜„
 
Aliondoka Kwa kashfa alafu akasema nitapata tabu sana yeye ndo mwanaume wa maana na kapta mwanamke mzuri na anamprnda,Sasa my wangu sijui kakumbwa na nn sikuhiz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]doh
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…