Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Mpelekee ajue anachomiss😂"Nilikua na wee kwa hisani tyuuh kwako, na sahivi hisani yangu imeishaaa"
Hapooo ndo naachwaa aani, wakati huo nimezamaaa kwake, na mapenzi ndo nayaanza. Nusu niwehukwe kuwa chizi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Siku nakutana nae mlimani main campus, anasema "daaah mtoto unazidi kushynee tyuuh"
nkamjibu "ndyooo nimempata mtu wa kunisitiri sahivi hisani si uliondoka nayo wee" alitazama chini kwa aibuuu.
Now muda wote kunifuatiliaaa. Afu mie hata mshipa wa nyege haustuki kwake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa namfunga kamba...kama ilivyo kawaida yetu majentromeni [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa hiyo saivi jimbo liko wazi? 🤔😉Sana 😂😂😂
Hawaelewi hawa viumbeWese likikaa sana mwilin n tatz jingine
Hhahah hyo kauli huwez pata usingz lazm kila cku uote upo misiban😀😀Mimi Kuna kipindi nilichimbiwa mikwara Hadi nikatoa macho wee, imagine aliniambia eti aliniambukiza ngwengwe kwa hiyo nijiandae tu kufa.
Mwanzoni niliichukulia hiyo kauli Kama utani ilia kadri siku zilivyosonga nilianza kuimind hyo Sana kauli Yake.Ikanibidi niende nichukue vipimo vya HIV nikajikuta nipo sawa,baada ya miezi mingine 3 nikarudi Tena kupima nikakuta mambo Ni sawa tu😂
Wew jamaa umekuwa kam yule fundi NguoAlinambia “Capone, kamwe hutapata mwanamke anayekupenda kama mimi”
Nilimwambia aache utani wake
Mwingine aliwahi nambia siku namuomba tuachane “Wewe nenda unakotaka ila ukijisikia kurudi rudi tu”
Kweli mpaka leo naendaaa Nikiona sielewi narudi na nampa mirejesho ya huko nilikotoka, ananiona kama mwanae
Mwingine alisema “Siwezi acha kukupenda labda Nikipata uthibitisho kuwa kweli umenifanyia ubaya”
Lakini huyu hajibu texts zangu
Mwingine alinipa laana eti “Capone nakuchukia nakuchukia nakuchukia sana na sintakusamehe mpaka naingia kaburini”
Nikamwambia sweetheart wewe ni mzinzi kama mimi unatoa wapi hiyo nguvu ya kunipa laana? Ila usijichoshe hakuna kitu kitanipata
Mwingine alisema “Unaniita ili unit*mb* ya mwisho mwisho, sitaki wewe nenda tu”
Ila alikuja na alichodhania ni kweli kilitokea
Aah wengine nimesahau walisemaje nikikumbuka nitawaambia
Aisee..😀😀Nilikuwa namfunga kamba...kama ilivyo kawaida yetu majentromeni [emoji16][emoji16][emoji16]
We bwana una vimaneno vyako vya kuwachombeza hawa watu, hatari Sana. Mrembo anajikuta anachati na wewe tyr Pichu ina kautelezi.Inanihamasisha niende extra mile 🤣
Bana niliimind Sana hiyo kauliHhahah hyo kauli huwez pata usingz lazm kila cku uote upo misiban😀😀
Hawa wenzetu wana viroja mnoWew jamaa umekuwa kam yule fundi Nguo
Kweny series ya FUNDI
na hapo kun wengine umesahau misemo Yao😁😁😁
Mpe bhna simlishachanganya damu😀😀Bora ambao mulipewa maneno makali. wengine ni silence halafu anatupia picha kila siku akiwa na mwanamke wake bahati mbaya alikuwa ana kazi tu yakukidhi mahitaji yake. demu alimudanganya sijui nini akaacha kazi yake. leo hii ananiomba hela ya mtaji afungue biashara nimekaa silent ocean!
Sana chiefHawa wenzetu wana viroja mno
😂😂😂Jamaninenda huko ,Bora ulivoniacha kauboo kenyewe kafupi kameinamia chini ,ungejua ...heheeee
Hiyo kauli ya kwanza huwa najiuliza jeuri ya kuongea hivyo huwa wanaitoa wapi 😁😁😁Alinambia “Capone, kamwe hutapata mwanamke anayekupenda kama mimi”
Nilimwambia aache utani wake
Mwingine aliwahi nambia siku namuomba tuachane “Wewe nenda unakotaka ila ukijisikia kurudi rudi tu”
Kweli mpaka leo naendaaa Nikiona sielewi narudi na nampa mirejesho ya huko nilikotoka, ananiona kama mwanae
Mwingine alisema “Siwezi acha kukupenda labda Nikipata uthibitisho kuwa kweli umenifanyia ubaya”
Lakini huyu hajibu texts zangu
Mwingine alinipa laana eti “Capone nakuchukia nakuchukia nakuchukia sana na sintakusamehe mpaka naingia kaburini”
Nikamwambia sweetheart wewe ni mzinzi kama mimi unatoa wapi hiyo nguvu ya kunipa laana? Ila usijichoshe hakuna kitu kitanipata
Mwingine alisema “Unaniita ili unit*mb* ya mwisho mwisho, sitaki wewe nenda tu”
Ila alikuja na alichodhania ni kweli kilitokea
Aah wengine nimesahau walisemaje nikikumbuka nitawaambia
Asee ana bahati mimi si mtu wa kuvimba vinginevyo ningemuonesha demo how many loves me even more than she could ever doHiyo kauli ya kwanza huwa najiuliza jeuri ya kuongea hivyo huwa wanaitoa wapi 😁😁😁
Unamuacha akapambane na hali yake huku wewe unakua busy na mambo yako.Asee ana bahati mimi si mtu wa kuvimba vinginevyo ningemuonesha demo how many loves me even more than she could ever do