Uchaguzi 2020 Kauli za mgombea wa CHADEMA zinashangaza sana

Nyie mtu akishaanza kushabikia kufilana huwa hawezi kufocus kwenye mambo ya msingi, kimsingi Lisu siyo chaguo la chadema ila mabebelu, tena sasa ana ulaia wa nchi hiyo sijui tunajua hilo
 
Kinachotakiwa ni ushindani, ukiwepo wa maji, gesi, jua, upepo vitaleta ushindani kwenye bei maana mwenye bei atakosa wateja so ushindani nimuhimu.
 
Hii ni kitu gani umeandika?
 
Chadema haina Ilani ya Uchaguzi. Ilani ni nini Lissu ameongea kwa wakati huo!
 
Kwani kadanganya? Mara ngapi maji huwa yanapungua katika mito?
 
Ukifuatilia hotuba za Lissu ni kwa ajili ya kuwafurahisha Mataifa ya Ulaya na Marekani kana kwamba ndo watakaotuchagulia viongozi wetu ndo maana ukisikiliza kauli zake mara nyingi akiwa analalamika hupenda kusema na Dunia ijionee, maana yake ndo muwakilishi wa hao waliomtuma, ni hotuba ambazo hazina tija kwa Watanzania ambao ndio tutakaofanya uchaguzi. Kimsingi Vyama vyote vya Upinzani mwaka huu 2020 vinashiriki Uchaguzi wa Rais kwa ajili ya kutafuta ruzuku tu hakuna jambo jingine.
 
Wanafunzi wawapo darasani na hupewa mtihani waufanye kwa pamoja ili kuweza kuwapima uelewa wao ktk mambo waliyofundishwa na walimu wao. Ijapokuwa huwa wanafundishwa kwa wakati mmoja, na mwalimu husika wa somo, na hata kupewa rejea za notisi na vitabu vyenye kufanana. Lakini matokeo yakitoka hujikuta wakiwa na matokeo tofauti ya viwango vya ufaulu wa mitihani yao.

Hivi ndivyo ambavyo hutokea hata katika siasa nyakati za kampeni za uchaguzi. Kwa watu wana utofauti ktk viwango vya uelewa pale wanaposikiliza sera zikimwaga na wagombea tofauti wa vyama. Hii ndiyo maana simshangai mleta mada ktk uzi huu. Yaani licha ya madini na hoja mujarabu za Tundu Lissu, yeye anadai ni za kupuuziwa kweli!

Mkuu, sometimes kuficha ujinga wako mbele ya watu makini ni hekima pia. Yaani kama kweli ulipata muda kulisikiliza kipindi cha ITV cha dakika 45 cha mahojiano na Tundu Lissu, na ukashindwa kabisa kuona madini aliyatoa kuhusiana na sera za chama chake, basi tatizo litakuwa ni kama wale wanafunzi wengine wawasindikizao wenzao kimasomo na kufeli na kupata alama za miswaki (F) ambapo ili kuficha madhaifu ya kufeli, sera CCM huuita ni ufaulu hafifu.

Kwa hiyo basi mkuu, pamoja na kushindwa kabisa na kuwa na uelewa wa nondo za Tundu Lissu basi tuseme umefaulu. Ijapokuwa ufaulu wako ni hafifu.
 
Tutajie jina la mgombea wako wa NCCR ili tuamini uliyoandika hapa na uwe unatupa kauli za mgombea wako wa NCCR achana na za chadema.

Au chadema ni kama oxygen kwako ukiikosa unakufa?
 
Mwanasheria kawa mtaalam wa umeme na mazingira jukwaani😀😀. Kuna kila dalili huyu jamaa alichukua form ya urais ili apate jukwaa huru la kumtukana Magufuli na kusimulia hadithi za risasi
 
Tutajie jina la mgombea wako wa NCCR ili tuamini uliyoandika hapa na uwe unatupa kauli za mgombea wako wa NCCR achana na za chadema.

Au chadema ni kama oxygen kwako ukiikosa unakufa?
Mr Maganja anakuhusu nini? Mimi naongelea ukweli halisi wa mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…