kunogasana
Member
- Nov 10, 2019
- 32
- 11
Nyie mtu akishaanza kushabikia kufilana huwa hawezi kufocus kwenye mambo ya msingi, kimsingi Lisu siyo chaguo la chadema ila mabebelu, tena sasa ana ulaia wa nchi hiyo sijui tunajua hiloHili hata mimi nilishangaa, ni kweli Lissu anatoa haya kwenye ilani ya CDM au ni maoni yake binafsi, maana kila mtaalam anajua umeme wa maji una gharama nafuu zaidi ya umeme wa jua na gesi, sasa mgombea urais, Lissu kuja kusema JNHPP ( Stigler’s gorge) ni ghali zaidi ya umeme wa jua, unatambua tu uropokaji umechukua nafasi yake na CDM hawakujiandaa au hawakumuandaa Lissu kuja kugombea kama anaropoka asiyoyajua.