Uchaguzi 2020 Kauli za mgombea wa CHADEMA zinashangaza sana


Ukiangalia hoja ya msingi ya mleta mada basi ni dhahiri hapa ni wewe ndio ulitakiwa kukaa kimya ili kuficha ujinga.
 
Nani alieanzisha umeme wa gas?kama mliona kuwa gas ndo kipaumbele kwa ajil ya kuzalisha umeme ilishindika a nini kuuendeleza kulikon kuwanyonya maskini kila siku kwa kuanzisha mirad mikubwa ambayo n mtu mmoja anakopa hela bila utaratibu na kuianzisha?lazima tufikie sehem kama nchi inayoendelea tuwe na dira ya maendeleo,c kila kiongoz anakuja na lake ma kuanza kuponda miradi ilioanzishwa ili kutafuta sifa za kijinga kwa wananchi,kiujumla hilo bwawa ni kuwanyonya tu wananch wa hali ya chin kulipa deni kwan sion umuhimu wakw kamaa tulishaanzishq umeme wa gas,yaan mmeishia kusifia tu ujinga ambao unawatesa watz kilq leo,
 
Hajasema sababu ya maji au mvua, amesema ulikuwa ushauri wa wataalamu
 
ni nishati ya uhakika zaidi maana ya maji inawezekana kukakosekana mvua ikawa shida kama kipindi cha iptl, lakini jua lipo siku zote, Unakumbuka ya Mtera kukauka mara kujaa tope nk
 
Unafanya watanzania wajinga? Kasema nchi hii ni ya kitropiki, anamaanisha mvua ni chache. Acha kutumia ugoro kufikiri.
amesema ya kitropiki lakini hajasema mvua, wewe ndiye unasema ya kitropiki maana yake mvua ni chache
 
ni nishati ya uhakika zaidi maana ya maji inawezekana kukakosekana mvua ikawa shida kama kipindi cha iptl, lakini jua lipo siku zote, Unakumbuka ya Mtera kukauka mara kujaa tope nk

Tunaongelea suala la gharama hapa sio reliability.
 
😂😂 Ila nyie makamanda muda mwingine mnashangaza Sana.Kiongozi wenu anasema Magu amesababisha ugumu wa maisha,amewanyonya watu watu wamekuwa masiki, hawana hela, lakini huyohuyo aliemaliza kuyasema hayo, anawaomba Tena masikini wasiokuwa na hela wamchangie😂😂😂.

Nikujibu swali lako:-
Mradi wa gesi hakuna alieusitisha, labda Kama wewe unaushahidi wa kusuport madai yako uulete hapa na sio kubwekabweka🗣️🗣️ bila mpango.Ni kwamba kila raisi anakuwa na kipaumbele chake kulingana na ilani iliyopo.Ndomaana sitashangaa hata Lissu akiingia madarakani,na kuyapuuza haya anayofanya jiwe.Nadhani hata wewe unaona jinsi ambavyo anapinga miradi mbalimbali inayoendelea nchini.
 
Lissu anatuona sie WaTZ mafala Sana, Wakati tunafikiri vizuri tu na tumetulia!!!
Watanzania zaidi ya 60% ni wajinga sana na huo ndiyo mtaji wa CCM. Wanaamini kila anachosema Magufuli
 
Watanzania zaidi ya 60% ni wajinga sana na huo ndiyo mtaji wa CCM. Wanaamini kila anachosema Magufuli
Wewe ndio MJINGA mkuu, Inamana kwà hizo takwimu zako ndio umuone LISSU anaakili sana
 
Siasa za miaka ya 2015 usizifananishe na sasa. Utajidanganya, zimebadika mno. Uyo slaa kwa siasa za Sasa angekua segerea
 
Hakusema ni ghali, alisema uzalishaji wa umeme kwa kutumia maji hauna garantii for the long run hasa kwenye hizi zetu za kitropiki. Alifanya utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…