fangfangjt
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 571
- 139
Hakuna mtu anapenda kuambiwa habari mbaya, lakini ni vizuri ukambiwa habari mbaya -hasa kama inakuhusu wewe binafsi au taasisi/kikundi/mahali panapokuhusu. Na unapopata taarifa utamshukuru mtoa taarifa (regardless ni mbaya au nzuri) huo ndio uungwana.
Kwa kwa jinsi Jukwaa mtu akitoa taarifa ambayo inakuhusu kwa namna moja au nyingine, unabonyeza kitufe gani kumshukuru?
Is it possible kwamba 'like' katka context ya hili jukwa ina maana zaidi ya moja?
wATETEZI WOTE ZITO HUMU JF NI WANA-CCM!, MBONA MIMI SIELEWI ELEWI HAPO??!!

Mbali wapi zaidi ya kujipoteza mwenyewe, ikizingatiwa anatembea katika nyayo za Tambwe Hiza, badala ya kwenda mahakamani eti kaandika statement polisi. Aende mahakamani badala ya kujaza rejista za polisi bila sababu ya msingi.Slaa katika historia ya maisha yake ya kisiasa hajawahi kuomba radhi.
Hili jambo limeshakuwa serious, ni bora aombe radhi mapema Zitto amsamehe ili mambo yasifike mbali.
Cc Josephine
Dr. Slaa bora amuombe radhi Zitto yaishe.
Tatizo la Slaa ni mbishi sana kuomba radhi...
Hakuna mtu anapenda kuambiwa habari mbaya, lakini ni vizuri ukambiwa habari mbaya -hasa kama inakuhusu wewe binafsi au taasisi/kikundi/mahali panapokuhusu. Na unapopata taarifa utamshukuru mtoa taarifa (regardless ni mbaya au nzuri) huo ndio uungwana.
Kwa kwa jinsi Jukwaa mtu akitoa taarifa ambayo inakuhusu kwa namna moja au nyingine, unabonyeza kitufe gani kumshukuru?
Is it possible kwamba 'like' katka context ya hili jukwa ina maana zaidi ya moja?
zitto ondoka chadema kaka hao watu wa kaskazini wataku-chacha wangwe
Naona unapiga ramli kuita misukule yote ya CCM ije msaidiane!!