Kauli zako Rais zitalitesa Taifa kwa muda mrefu, jaribu kupunguza hisia weka busara zaidi

Nchi imevurugwa na itaendelea kuvurugwa na watu wawili. Jiwe na Ndugai. Hawa watu bila kujitathmini wenyewe au kuajibishwa kwa nguvu hakika tunapelekwa korongoni.

Ningeshauri wapimwe afya ya akili kwa nguvu kwa faida ya Taifa letu. Kuna mtu humu jamvini aliwahi kusema hawa watu wanawaamini sana Waganga wa Jadi kuliko Wataalam kwenye fani husika.

Kama ndivyo Busara itatoka wapi??
 
Pamoja kuwa wewe ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya taifa letu. Huna budi kukumbuka miiko ya kiti chako, nakukumbuka kauli zako iwe ni kwa uzalendo au ni kwa upendo mkubwa kwa watanzania basi huna budi kuzichambua na kuzitafakari kwa kina kabla ya kuzitamka.

Mh Rais unaliumiza taifa silence na mwisho kilio kitasikika kwa sauti kubwa. Hawa watu tunawaita mabeberu wamewekeza sana kwenye intelligence zao kiasi wanajua kila neno na sera za mataifa yetu. Wanajadili kila neno linatoka kwa watawala, kiufupi they are smart than us and the can eliminate us within a sec.

Rais wangu hakuna tajiri anajisifia tajiri na kama yupo huyo sio tajiri ni masikini. Tajiri anasifiwa na kamwe hajisifii, mataifa ya wenzetu wanatushangaa kila siku sisi matajiri sisi matajiri, utajiri huu upo kwenye makaratasi au upo kinadharia na sio kwa vitendo na hii ni kama hujuma kwako mwenyewe as u raise your voice we are reach wanazidi kutubana kiasi itafika mahali nakwambia uchumi huu uta collapse ghafla mimi nakwambia ukweli Mzee wangu maana kuwa Rais sio kuwa na hekima zote.

Yusuph mfungwa alitolewa gerezani kuja kutegua kitendawili cha Mfalme aliekuwa hajui afanye nini na ndoto yake. Yusuph akaiponya nchi na leo Wewe kama Rais wetu nakushauri punguza maneno ya kujisifu, sisi ni matajiri unatuweka kwenye shida ambayo hutaiona sasa ila watakao kuja kiti kitakuwa cha moto unless utatawala milele lakini japo kwa mwendo huu Zimbabwe inanukia Tz.

Mh Rais hivi ujiulizi Tz hatuna even a single vaccine na wewe tangu utoto mpaka leo umedungwa masindano ya kinga ya kutoka kwa hao mabeberu, why unatweza jitihada za watu wanaotumia pesa na mali zao kutafuta sisi tuweze ishi, hivi kweli mkuu unaona hii ipo sawa? Wewe ni mwanasayansi ila umezungukwa na vichwa vyenye akili kiasi even you unajua sasa why usijishushe kama Rais ukawasikiliza.

Kauli zako Mkuu zina athari kubwa kiuchumi na ustawi wa hili taifa kama hutokubali kutumia hekima ktk kauli au kusoma hotuba.

Hotuba zako zinakuwa analysis na big agency na zinakuwa published kwenye vyombo vyao, angalia kauli yako jana walichoandika na uone kile kitatokea.

Mimi nakuomba utafakari hili uliponye taifa. Mungu akubariki wewe na Taifa letu amen.
Hama nchi katafute panapo kufaa
 
Leo nimekukubali sana kwa ushauri wako huu
 
Kwani tupo peke yetu hatujafunga uchumi mbona mataifa mengi yana endelea na kazi. Japan hawaja lock down ila taratibu zingine zina endelea kama kawaida shida hapa u hate protocol na kutushawishi tuone hizo protocol sio sahihi. Hapa mkuu unatuchanganya as a nation. Ukisema hawa mabeberu sio hawafai basi turudi kwenye zama mawe dini hatukuwa nazo na tamafun hizi lakin tusibeze kazi nzuri ya hawa wazungu kutustaarabisha so tusibeze kaz zao.

Mimi nakuomba utafakari hili uliponye taifa. Mungu akubariki wewe na Taifa letu amen.
ILA KAULI ZA NDUGU ZAKO MABEBERU WANAZOZITOA KWENYE MITANDAO KWA KUWAWEKEA WATANZANIA TENA WATUMISHI WA UMA KWAMBA WASIKIKANYAGE INCHI ZAO BILA HATA YA KUJA KUJIRIDHISHA JUU YA TUHUMA ZAO, ILA KWAKUWA KIONGOZI WALIYE MTAKA ALIGARAGAZWA, WAO VITENDO HIVYO HUWA MNAWAPONGEZA, SI NDIO?? TULIENI WAAMBIWE UKWELIII.
 
Hiyo Phd yake UCHWARA ya kuunga unga kwa kununua inampa kibri na kujiona anajua kila kitu wakati hajui lolote lile. Ndiyo matatizo ya kuwa na mtu ambaye hana hadhi wala sifa ya kuongoza chochote kile. Anaropoka ropoka na matokeo yake ni kuiabisha nchi na kutuaibisha Watanzania. Anastahili kupigwa marufuku kuongea chochote kuhusu COVID-19 maana kila anapofungua kinywa chake kuhusu COVID-19 ni aibu tupu!
Hivi Pascal Mayalla yupo humu kweli?? Yeye ndiye alikuwa mtetezi wake. Aje amtetee ktk hili.
 
Anajifanya mcha Mungu na kutowaamini wazungu wakati dini anayoifuata kaletewa na Mzungu.
Hata papa ambaye ndiye mkuu wake kiroho hapa duniani ni Mzungu!

Kuna maneno wewe ukiwa raisi unapaswa kuyazungumza vikaoni tena sirini na watu unaowaamini, siyo unatoka public unaonyesha kutowaamini wazungu(watu weupe) na unachochea wananchi wasiwaamini, hii inaweza kutafsirika kama ubaguzi wa rangi. Hiyo kauli kama ya Magufuli akiitoa kiongozi mzungu kuwa tusiwaamini watu weusi nakuhakikishia atashambuliwa kila kona ya dunia hadi na watu wake mwenyewe ndani ya nchi!!

Jiwe anataka apendwe na kusifiwa kuwa ndiye mwakilishi wa masilahi ya watu weusi duniani, apewe sifa na waafrika kuwa anawachana wazungu etc. Lakini wazungu hao ndo wanaipa nchi yake ARV, ndiyo wanaotengeneza chanjo za polio, kifua kikuu, hepatitis B, n. k ambazo zote hizo zipo nchini na zinatolewa!
 
ILA KAULI ZA NDUGU ZAKO MABEBERU WANAZOZITOA KWENYE MITANDAO KWA KUWAWEKEA WATANZANIA TENA WATUMISHI WA UMA KWAMBA WASIKIKANYAGE INCHI ZAO BILA HATA YA KUJA KUJIRIDHISHA JUU YA TUHUMA ZAO, ILA KWAKUWA KIONGOZI WALIYE MTAKA ALIGARAGAZWA, WAO VITENDO HIVYO HUWA MNAWAPONGEZA, SI NDIO?? TULIENI WAAMBIWE UKWELIII.
Uk kwa mfano walichukua hatua hiyo maana kwa sasa wao ndio wako hit na corona dispite ya kuwa na chanjo.
Wanachofanya wao ni kuzuia zile nchi ambazo list suspect wa corona.
Wanazuia maambukizi zaid kutokea nje.. ili waweze kudhibiti ya ndani.

Na katika hili nchi 11 zimepigwa ban.
Mbona hizo nchi kumi hazilalamiki?

Lakini ww umeona tz ndio wa kulalamika? Kwamba ni special sana kuliko hizo nchi zingine?

Oh wamezuia bila ushahidi? Kwani mara ya mwisho kupima ilikuwa lini?
Tuna scientific proof yoyote inayodhibitisha kuwa tuko salama? Maana wazungu wanataka scientific proof sio porojo.

Sishabikii hili.. ila siasa zikae pembeni.. mambo ya kitaalam ya take over. Huu si wkt wa propaganda
 
Pamoja kuwa wewe ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya taifa letu. Huna budi kukumbuka miiko ya kiti chako, nakukumbuka kauli zako iwe ni kwa uzalendo au ni kwa upendo mkubwa kwa watanzania basi huna budi kuzichambua na kuzitafakari kwa kina kabla ya kuzitamka.

Mh Rais unaliumiza taifa silence na mwisho kilio kitasikika kwa sauti kubwa. Hawa watu tunawaita mabeberu wamewekeza sana kwenye intelligence zao kiasi wanajua kila neno na sera za mataifa yetu. Wanajadili kila neno linatoka kwa watawala, kiufupi they are smart than us and the can eliminate us within a sec.

Rais wangu hakuna tajiri anajisifia tajiri na kama yupo huyo sio tajiri ni masikini. Tajiri anasifiwa na kamwe hajisifii, mataifa ya wenzetu wanatushangaa kila siku sisi matajiri sisi matajiri, utajiri huu upo kwenye makaratasi au upo kinadharia na sio kwa vitendo na hii ni kama hujuma kwako mwenyewe as u raise your voice we are reach wanazidi kutubana kiasi itafika mahali nakwambia uchumi huu uta collapse ghafla mimi nakwambia ukweli Mzee wangu maana kuwa Rais sio kuwa na hekima zote.

Yusuph mfungwa alitolewa gerezani kuja kutegua kitendawili cha Mfalme aliekuwa hajui afanye nini na ndoto yake. Yusuph akaiponya nchi na leo Wewe kama Rais wetu nakushauri punguza maneno ya kujisifu, sisi ni matajiri unatuweka kwenye shida ambayo hutaiona sasa ila watakao kuja kiti kitakuwa cha moto unless utatawala milele lakini japo kwa mwendo huu Zimbabwe inanukia Tz.

Mh Rais hivi ujiulizi Tz hatuna even a single vaccine na wewe tangu utoto mpaka leo umedungwa masindano ya kinga ya kutoka kwa hao mabeberu, why unatweza jitihada za watu wanaotumia pesa na mali zao kutafuta sisi tuweze ishi, hivi kweli mkuu unaona hii ipo sawa? Wewe ni mwanasayansi ila umezungukwa na vichwa vyenye akili kiasi even you unajua sasa why usijishushe kama Rais ukawasikiliza.

Kauli zako Mkuu zina athari kubwa kiuchumi na ustawi wa hili taifa kama hutokubali kutumia hekima ktk kauli au kusoma hotuba.

Hotuba zako zinakuwa analysis na big agency na zinakuwa published kwenye vyombo vyao, angalia kauli yako jana walichoandika na uone kile kitatokea.

Kwani tupo peke yetu hatujafunga uchumi mbona mataifa mengi yana endelea na kazi. Japan hawaja lock down ila taratibu zingine zina endelea kama kawaida shida hapa u hate protocol na kutushawishi tuone hizo protocol sio sahihi. Hapa mkuu unatuchanganya as a nation. Ukisema hawa mabeberu sio hawafai basi turudi kwenye zama mawe dini hatukuwa nazo na tamafun hizi lakin tusibeze kazi nzuri ya hawa wazungu kutustaarabisha so tusibeze kaz zao.

Mimi nakuomba utafakari hili uliponye taifa. Mungu akubariki wewe na Taifa letu amen.
Jamaa yetu ana matatizo yake binafsi,endeleeni kumuombea tu
 
Mimi nimeshangaa aliposema walioenda kupata channjo ndio wameleta CORONA awamu hii .Kweli watanzania tunadanganywa hivi wewe nani akupe chanjo duuu watanzania wanawezwa kwelikweli na usishangae hata watoto sasa watakuwa hawapelekwi kwa chanjo hizi nyingine ,Polio nk na enzi za kikwete magonjwa hayo yote yalitokomea .Sasa hakuna rangi tutaacha on eee MUNGU Tusaidie mitano tena
 
Mh Rais hivi ujiulizi Tz hatuna even a single vaccine
Kiongozi, nakukumbusha tu kuwa Tanzania tumeshatengeneza chanjo zaidi ya moja na ziko sokoni. Ukweli ni kuwa chanjo ya /za covid zinazopigiwa debe sasa bado hazijatimiza SOP's na protocol ya chanjo. WHO na wadau wamefumbia macho swala hili kwa sababu wanazozijua wao
 
Mimi nimeshangaa aliposema walioenda kupata channjo ndio wameleta CORONA awamu hii .Kweli watanzania tunadanganywa hivi wewe nani akupe chanjo duuu watanzania wanawezwa kwelikweli na usishangae hata watoto sasa watakuwa hawapelekwi kwa chanjo hizi nyingine ,Polio nk na enzi za kikwete magonjwa hayo yote yalitokomea .Sasa hakuna rangi tutaacha on eee MUNGU Tusaidie mitano tena
Amesahau alishawahi kumtuma Waziri wake kwa ndege ya Serikali kwenda kutuletea yale madawa ya mitishamba ya Madagascar!! Sijui ile kamati ya wataalamu wake iliishia wapi!!

Maana dawa hatuzioni! Na badala yake tunahamasishwa kuendelea kujifukiza!!! Mzee anatuchukulia sisi kama ng'ombe vile. Yaani anatuendesha vile apendavyo.
 
Walio fanya vetting ili Magufuli awe mgombea wa Urais walitukosea saana wananchi.
Wewe ndio lofa kabisa (by Mkapa voice)hivi kama sio Magufuli kusimama kiume kwa tishio la corana ya kwanza Watanzania situngelikuwa tunakula nyasi na madeni kibao, Sasahivi wameibuka na corona ya mala ya pili yenye nguvu kuliko ya kwanza, sababu malengo yao ya mala ya kwanza hayajatimia,je angelikimbia kununua chanjo na watu wakadungwa hizo chanjo mwisho wa siku unaambiwa kirusi hiki ni kikali kuliko cha kwanza hii chanjo haifai unafanyaje? Magufuli yuko sawa mtamuelewa badae kama vile ambavyo amkumwelewa mala ya kwanza lakini mwisho wa siku akaibuka kidedea kwa kukata mashaliti ya kizungu ya kufungia watu ndani.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli
 
Back
Top Bottom