Kauli zako Rais zitalitesa Taifa kwa muda mrefu, jaribu kupunguza hisia weka busara zaidi

Wewe ndio lofa kabisa (by Mkapa voice)hivi kama sio Magufuli kusimama kiume kwa tishio la corana ya kwanza Watanzania situngelikuwa tunakula nyasi na madeni kibao, Sasahivi wameibuka na corona ya mala ya pili yenye nguvu kuliko ya kwanza, sababu malengo yao ya mala ya kwanza hayajatimia,je angelikimbia kununua chanjo na watu wakadungwa hizo chanjo mwisho wa siku unaambiwa kirusi hiki ni kikali kuliko cha kwanza hii chanjo haifai unafanyaje? Magufuli yuko sawa mtamuelewa badae kama vile ambavyo amkumwelewa mala ya kwanza lakini mwisho wa siku akaibuka kidedea kwa kukata mashaliti ya kizungu ya kufungia watu ndani.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli
Rudi shule kwanza ukatoe kamasi kichwani hujui unachoandika
 
Pamoja kuwa wewe ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya taifa letu. Huna budi kukumbuka miiko ya kiti chako, nakukumbuka kauli zako iwe ni kwa uzalendo au ni kwa upendo mkubwa kwa watanzania basi huna budi kuzichambua na kuzitafakari kwa kina kabla ya kuzitamka.

Mh Rais unaliumiza taifa silence na mwisho kilio kitasikika kwa sauti kubwa. Hawa watu tunawaita mabeberu wamewekeza sana kwenye intelligence zao kiasi wanajua kila neno na sera za mataifa yetu. Wanajadili kila neno linatoka kwa watawala, kiufupi they are smart than us and the can eliminate us within a second.

Rais wangu hakuna tajiri anajisifia tajiri na kama yupo huyo sio tajiri ni masikini. Tajiri anasifiwa na kamwe hajisifii, mataifa ya wenzetu wanatushangaa kila siku sisi matajiri sisi matajiri, utajiri huu upo kwenye makaratasi au upo kinadharia na sio kwa vitendo na hii ni kama hujuma kwako mwenyewe as u raise your voice we are reach wanazidi kutubana kiasi itafika mahali nakwambia uchumi huu uta collapse ghafla mimi nakwambia ukweli Mzee wangu maana kuwa Rais sio kuwa na hekima zote.

Yusuph mfungwa alitolewa gerezani kuja kutegua kitendawili cha Mfalme aliekuwa hajui afanye nini na ndoto yake. Yusuph akaiponya nchi na leo Wewe kama Rais wetu nakushauri punguza maneno ya kujisifu, sisi ni matajiri unatuweka kwenye shida ambayo hutaiona sasa ila watakao kuja kiti kitakuwa cha moto unless utatawala milele lakini japo kwa mwendo huu Zimbabwe inanukia Tz.

Mh Rais hivi ujiulizi Tz hatuna even a single vaccine na wewe tangu utoto mpaka leo umedungwa masindano ya kinga ya kutoka kwa hao mabeberu, why unatweza jitihada za watu wanaotumia pesa na mali zao kutafuta sisi tuweze ishi, hivi kweli mkuu unaona hii ipo sawa? Wewe ni mwanasayansi ila umezungukwa na vichwa vyenye akili kiasi even you unajua sasa why usijishushe kama Rais ukawasikiliza.

Kauli zako Mkuu zina athari kubwa kiuchumi na ustawi wa hili taifa kama hutokubali kutumia hekima ktk kauli au kusoma hotuba.

Hotuba zako zinakuwa analysis na big agency na zinakuwa published kwenye vyombo vyao, angalia kauli yako jana walichoandika na uone kile kitatokea.

Kwani tupo peke yetu hatujafunga uchumi mbona mataifa mengi yana endelea na kazi. Japan hawaja lock down ila taratibu zingine zina endelea kama kawaida shida hapa u hate protocol na kutushawishi tuone hizo protocol sio sahihi. Hapa mkuu unatuchanganya as a nation. Ukisema hawa mabeberu sio hawafai basi turudi kwenye zama mawe dini hatukuwa nazo na tamafun hizi lakin tusibeze kazi nzuri ya hawa wazungu kutustaarabisha so tusibeze kaz zao.

Mimi nakuomba utafakari hili uliponye taifa. Mungu akubariki wewe na Taifa letu amen.

kwahio kila anachofanya as long ni mzungu yuko right? what type of brain is this?
 
Hiyo Phd yake UCHWARA ya kuunga unga kwa kununua inampa kibri na kujiona anajua kila kitu wakati hajui lolote lile. Ndiyo matatizo ya kuwa na mtu ambaye hana hadhi wala sifa ya kuongoza chochote kile.

Anaropoka ropoka na matokeo yake ni kuiabisha nchi na kutuaibisha Watanzania. Anastahili kupigwa marufuku kuongea chochote kuhusu COVID-19 maana kila anapofungua kinywa chake kuhusu COVID-19 ni aibu tupu!

vp umeshajiweka lockdown kwa wiki nzima ama umekubali magufuli alivosema watu waendelee na shughuli zao?
 
Kiongozi, nakukumbusha tu kuwa Tanzania tumeshatengeneza chanjo zaidi ya moja na ziko sokoni. Ukweli ni kuwa chanjo ya /za covid zinazopigiwa debe sasa bado hazijatimiza SOP's na protocol ya chanjo. WHO na wadau wamefumbia macho swala hili kwa sababu wanazozijua wao
Mheshimiwa tusaidie na sisi tuzijue hizo chanjo tulizotengeneza
 
Mwilini mwake ana chanjo kibao toka kwa mabeberu leo kwa upuuzi wa "maono" yake analeta nyodo dhidi ya chanjo ya Covid19
Kwa nini aweke rehani maisha yetu watz wote kwa kujiona yeye ni mjuvi wa kila kitu na ku satisfy his over inflated ego 😡

rubbish!
 
Mimi nimeshangaa aliposema walioenda kupata channjo ndio wameleta CORONA awamu hii .Kweli watanzania tunadanganywa hivi wewe nani akupe chanjo duuu watanzania wanawezwa kwelikweli na usishangae hata watoto sasa watakuwa hawapelekwi kwa chanjo hizi nyingine ,Polio nk na enzi za kikwete magonjwa hayo yote yalitokomea .Sasa hakuna rangi tutaacha on eee MUNGU Tusaidie mitano tena
Mkulu katupiga changa la macho .... huko kwenyewe chanjo hazipatikani karahisi hivyo. Sasa kusema kuwa kuna Watatnzania wametoka hapa kwenda huko na wakapata chanjo hilo ni questionable.

Hii conspiracy theory wanayokuja nayo kuhusu Corona kwa kweli inatufanya tuwe kichekesho duniani ... au anajaribu kutwambia kijanja kuwa ile Corona tuliyodai kuwa tumeishinda sasa inaelekea kutushinda ....!!
 
Sio Mitano tena ni milele kabisa...
Nchi hii ni tajiri sana hatuhitaji pesa za mabeberu
Uchumi wa kati
Au nasema uongo ndugu...
Mabeberu wanayajua mavieitee...
Sisi tunatembelea mavieitee...
 
Attachments

  • IMG_20210127_125033.jpg
    IMG_20210127_125033.jpg
    86 KB · Views: 13
  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 13
Hiyo Phd yake UCHWARA ya kuunga unga kwa kununua inampa kibri na kujiona anajua kila kitu wakati hajui lolote lile. Ndiyo matatizo ya kuwa na mtu ambaye hana hadhi wala sifa ya kuongoza chochote kile.

Anaropoka ropoka na matokeo yake ni kuiabisha nchi na kutuaibisha Watanzania. Anastahili kupigwa marufuku kuongea chochote kuhusu COVID-19 maana kila anapofungua kinywa chake kuhusu COVID-19 ni aibu tupu!
JPM is a very weak character and basically doesn't possess any trait to be a leader. Kuwa kwake RAIS wa Tanzania ni moja ya AJALI za dunia kwa Karne hii.

Anapochukua personal feelings au au personal ego na kuifanya kuwa ni sera ya Taifa ni udhaifu mkubwa.

Ni aibu kwa kiongozi Mkuu wa Taifa hili ambaye ana alama ya sindano ya ndui begani, kuziponda chanjo kwa stupid conspiracy theories tunazojadili vijiweni.

Hivi anajua vaccines zimeokoa wangapi dhidi ya polio, surua, homa ya mapafu, homa ya manjano, pepopunda, kuhara, na kifua kikuu. Afikirie hali ingekuwa vipi kama wafadhili hawangekuwapo na hizi chanjo
 
Mzee Bujibuji hata mimi nimewaza sana, hivi busara mtu anazaliwa nayo au inafundishwa mtaani?
Inakuja kadri mtu anavyostaarabika(siyo kuelimika) Yaan anavyozidi kuishi na kuyatawala mazingira yake ,umri unavyosonga mbele ndivyo busara inavyotakiwa kuongezeka.unajitofautisha.
 
ILA KAULI ZA NDUGU ZAKO MABEBERU WANAZOZITOA KWENYE MITANDAO KWA KUWAWEKEA WATANZANIA TENA WATUMISHI WA UMA KWAMBA WASIKIKANYAGE INCHI ZAO BILA HATA YA KUJA KUJIRIDHISHA JUU YA TUHUMA ZAO, ILA KWAKUWA KIONGOZI WALIYE MTAKA ALIGARAGAZWA, WAO VITENDO HIVYO HUWA MNAWAPONGEZA, SI NDIO?? TULIENI WAAMBIWE UKWELIII.
Tatizo nyie kila kitu mnachukulia siasa wakati watu wanachukua hatua kuilinda nchi zao nyie bado mko na chadema tu.
 
Pamoja kuwa wewe ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya taifa letu. Huna budi kukumbuka miiko ya kiti chako, nakukumbuka kauli zako iwe ni kwa uzalendo au ni kwa upendo mkubwa kwa watanzania basi huna budi kuzichambua na kuzitafakari kwa kina kabla ya kuzitamka.

Mh Rais unaliumiza taifa silence na mwisho kilio kitasikika kwa sauti kubwa. Hawa watu tunawaita mabeberu wamewekeza sana kwenye intelligence zao kiasi wanajua kila neno na sera za mataifa yetu. Wanajadili kila neno linatoka kwa watawala, kiufupi they are smart than us and the can eliminate us within a second.

Rais wangu hakuna tajiri anajisifia tajiri na kama yupo huyo sio tajiri ni masikini. Tajiri anasifiwa na kamwe hajisifii, mataifa ya wenzetu wanatushangaa kila siku sisi matajiri sisi matajiri, utajiri huu upo kwenye makaratasi au upo kinadharia na sio kwa vitendo na hii ni kama hujuma kwako mwenyewe as u raise your voice we are reach wanazidi kutubana kiasi itafika mahali nakwambia uchumi huu uta collapse ghafla mimi nakwambia ukweli Mzee wangu maana kuwa Rais sio kuwa na hekima zote.

Yusuph mfungwa alitolewa gerezani kuja kutegua kitendawili cha Mfalme aliekuwa hajui afanye nini na ndoto yake. Yusuph akaiponya nchi na leo Wewe kama Rais wetu nakushauri punguza maneno ya kujisifu, sisi ni matajiri unatuweka kwenye shida ambayo hutaiona sasa ila watakao kuja kiti kitakuwa cha moto unless utatawala milele lakini japo kwa mwendo huu Zimbabwe inanukia Tz.

Mh Rais hivi ujiulizi Tz hatuna even a single vaccine na wewe tangu utoto mpaka leo umedungwa masindano ya kinga ya kutoka kwa hao mabeberu, why unatweza jitihada za watu wanaotumia pesa na mali zao kutafuta sisi tuweze ishi, hivi kweli mkuu unaona hii ipo sawa? Wewe ni mwanasayansi ila umezungukwa na vichwa vyenye akili kiasi even you unajua sasa why usijishushe kama Rais ukawasikiliza.

Kauli zako Mkuu zina athari kubwa kiuchumi na ustawi wa hili taifa kama hutokubali kutumia hekima ktk kauli au kusoma hotuba.

Hotuba zako zinakuwa analysis na big agency na zinakuwa published kwenye vyombo vyao, angalia kauli yako jana walichoandika na uone kile kitatokea.

Kwani tupo peke yetu hatujafunga uchumi mbona mataifa mengi yana endelea na kazi. Japan hawaja lock down ila taratibu zingine zina endelea kama kawaida shida hapa u hate protocol na kutushawishi tuone hizo protocol sio sahihi. Hapa mkuu unatuchanganya as a nation. Ukisema hawa mabeberu sio hawafai basi turudi kwenye zama mawe dini hatukuwa nazo na tamafun hizi lakin tusibeze kazi nzuri ya hawa wazungu kutustaarabisha so tusibeze kaz zao.

Mimi nakuomba utafakari hili uliponye taifa. Mungu akubariki wewe na Taifa letu amen.
Sikio la kufa halisikii dawa, na mchuma kanga hula na wa kwao. Watanzania tumepatikana.
 
Tatizo nyie kila kitu mnachukulia siasa wakati watu wanachukua hatua kuilinda nchi zao nyie bado mko na chadema tu.
Hatua zipi zimechukuliwa kutokomeza korona na zikaonekana kuleta mafanikio?? Nitajie ata nchi moja ambayo imefanikiwa kujizuia na korona
 
Jamaa yetu ana matatizo yake binafsi,endeleeni kumuombea tu
Na moja ya matatizo hayo ni cheap popularity. Msomi wa level yake alitakiwa ayasemayo yawe na scientific proof, la, sifa aliyo nayo aiendeleze.
 
Pamoja kuwa wewe ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya taifa letu. Huna budi kukumbuka miiko ya kiti chako, nakukumbuka kauli zako iwe ni kwa uzalendo au ni kwa upendo mkubwa kwa watanzania basi huna budi kuzichambua na kuzitafakari kwa kina kabla ya kuzitamka.

Mh Rais unaliumiza taifa silence na mwisho kilio kitasikika kwa sauti kubwa. Hawa watu tunawaita mabeberu wamewekeza sana kwenye intelligence zao kiasi wanajua kila neno na sera za mataifa yetu. Wanajadili kila neno linatoka kwa watawala, kiufupi they are smart than us and the can eliminate us within a second.

Rais wangu hakuna tajiri anajisifia tajiri na kama yupo huyo sio tajiri ni masikini. Tajiri anasifiwa na kamwe hajisifii, mataifa ya wenzetu wanatushangaa kila siku sisi matajiri sisi matajiri, utajiri huu upo kwenye makaratasi au upo kinadharia na sio kwa vitendo na hii ni kama hujuma kwako mwenyewe as u raise your voice we are reach wanazidi kutubana kiasi itafika mahali nakwambia uchumi huu uta collapse ghafla mimi nakwambia ukweli Mzee wangu maana kuwa Rais sio kuwa na hekima zote.

Yusuph mfungwa alitolewa gerezani kuja kutegua kitendawili cha Mfalme aliekuwa hajui afanye nini na ndoto yake. Yusuph akaiponya nchi na leo Wewe kama Rais wetu nakushauri punguza maneno ya kujisifu, sisi ni matajiri unatuweka kwenye shida ambayo hutaiona sasa ila watakao kuja kiti kitakuwa cha moto unless utatawala milele lakini japo kwa mwendo huu Zimbabwe inanukia Tz.

Mh Rais hivi ujiulizi Tz hatuna even a single vaccine na wewe tangu utoto mpaka leo umedungwa masindano ya kinga ya kutoka kwa hao mabeberu, why unatweza jitihada za watu wanaotumia pesa na mali zao kutafuta sisi tuweze ishi, hivi kweli mkuu unaona hii ipo sawa? Wewe ni mwanasayansi ila umezungukwa na vichwa vyenye akili kiasi even you unajua sasa why usijishushe kama Rais ukawasikiliza.

Kauli zako Mkuu zina athari kubwa kiuchumi na ustawi wa hili taifa kama hutokubali kutumia hekima ktk kauli au kusoma hotuba.

Hotuba zako zinakuwa analysis na big agency na zinakuwa published kwenye vyombo vyao, angalia kauli yako jana walichoandika na uone kile kitatokea.

Kwani tupo peke yetu hatujafunga uchumi mbona mataifa mengi yana endelea na kazi. Japan hawaja lock down ila taratibu zingine zina endelea kama kawaida shida hapa u hate protocol na kutushawishi tuone hizo protocol sio sahihi. Hapa mkuu unatuchanganya as a nation. Ukisema hawa mabeberu sio hawafai basi turudi kwenye zama mawe dini hatukuwa nazo na tamafun hizi lakin tusibeze kazi nzuri ya hawa wazungu kutustaarabisha so tusibeze kaz zao.

Mimi nakuomba utafakari hili uliponye taifa. Mungu akubariki wewe na Taifa letu amen.
Mungu hawezi kumbariki huyu hata angeshuka papa hapa nakumwombea, labda abarikiwe na ndumba za nabii joshua
 
Back
Top Bottom