Kaulimbiu ya Muslim university of Morogoro imekosewa

Kaulimbiu ya Muslim university of Morogoro imekosewa

Waislam wanaamini kua katika ule msahafu wote unauona pale ulivyo mkubwa vile Aya ya kwanza kabisa kushuka ilisema Soma Kwa jina la Mungu (Allah) wako. Hii ndio amri ya kwanza pia aliyopewa Mtume wao Muhammad Peace be upon him.

Aya hii inapatikana katika surat Alaq ambayo ni sura ya 96 kwenye mpangilio wa msahafu. Ni Aya ya kwanza kabisa kwenye hiyo surat Alaq.

Aya hii Kwa kiarabu inasema
96.1 - Iqra' Bismi Rab'ika Ladhi Alaq (Soma Kwa ajili ya Muumba wako).
96.2 - Alaqal In-Saan Min Alaqin (Alieumba mwanadamu Kwa tone la damu).

Kwa hiyo wewe unaweza ukaona kama ni motto tu wa chuo lakini Kwa Waislam hii ndio aya ya kwanza kabisa kupewa Mtume wao Muhammad Peace be upon him so ina umuhimu mkubwa sana.
Aliumba Mwanadamu kwa tone la damu au kwa udongo?

Vipi Sheikh?
 
Wavaa kobaz walikatazwa elim dunya....hawajaelewa hata point ya mtoa mada ni hiko kiingereza...Badala ya kurekebisha kiingereza hapo, wao wamekuja direct na matusi kwa mtoa mada
Nyie Elimu Dunia imewasaida vipi wakati kwny boda wote tupo wote, Kwny kutembeza soks barabarani tupo wote, kwny Kaylinda tupo wote, kwny Mama na Baba lishe tupo wote, hiyo elimu Dunia mbona haijabadilisha tabia zenu za kujiua, kuua kwa wivu wa mapenzi, kugombea mashamba n.k
 
Jifariji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kusoma hakuhusishi hayo yote.
Kusoma ni kusoma tu.
Kama kula ilivyo kula tu.
Kwani wewe unaposoma haya maandishi ya hii comment yangu hapa saivi umehusisha uvumilivu gani?Umefundisha nini?

Ukiona wanadamu wanaanza kuongezea mambo yao (shirk) kulingana na mawazo yao kwenye Qur'an, inakuwa kama wanamsaidia mungu hivi..Astaghfirullah
Wewe ndiye unaleta ukafiri hapa,haujui hata Qur'an inachambuliwa vipi .Basi kwa taarifa fupi tu maelezo hayo yapo kwenye Qu'ran yenyewe na hadithi sasa usitake kuleta ujuzi ambao huna.

Kusoma ni kusoma nani kasema ? kila kitu kina adabu zake na kanuni hata wanaosoma ilimradi kusoma tu kama unavyodai wewe wamekemewa katika Qu'ran.
 
Mimi hii trick naijua sana, Yani unakuta quran imesema A, nyie mnaelezea B, halafu mnavunga maelezo yapo sehemu nyingine ambayo hata haihusiki....sasa Twende polepole, mi nawajua makafir mlivyo mabingwa wa kumlisha Allah maneno kwenye Quran kama vile yeye ni mtoto mdogo hakuweza kuyaelezea hayo maelezo yenu mwenyewe..wakati alisema Quran ni kitabu kilicho wazi kabisa (quran 11:1) kisichohitaji maelezo yenu mengine mnayoongezea.

Lakini mimi ni generous. Nakupa uhuru,
Leta Maelezo yako kuhusu iyo Aya, hayo ya kuvumilia, kujitahidi na kujifunza kwenye hiyo aya, uyatoe kwenye vyanzo stahiki sio kichwani mwako na usiokote okote vitu visivyohusiana ili ulazimishe maana zako hapo, ,.Halafu mm ntakuletea maelezo ya wanazuoni wakubwa wanaotambulika waliosomea dini (Ibn kathir na Ala-maudud) tafsir yake ya hiyo Aya.
 
Turahishe ; kivipi iwe makosa kutumia hapo ? weka uchambuzi
 
Nyie Elimu Dunia imewasaida vipi wakati kwny boda wote tupo wote, Kwny kutembeza soks barabarani tupo wote, kwny Kaylinda tupo wote, kwny Mama na Baba lishe tupo wote, hiyo elimu Dunia mbona haijabadilisha tabia zenu za kujiua, kuua kwa wivu wa mapenzi, kugombea mashamba n.k
Kama haina faida mbn sasa chuo chenu kinakomaa kuandika kiingereza hapo? Basi wangeandika kiarabu tu. Au wengefunga kabisa chuo maana Boko(elimu) is Haram...Boko haram
 
Turahishe ; kivipi iwe makosa kutumia hapo ? weka uchambuzi
Ni shirk...umeongezea mambo ambayo hayahusiki na hiyo Aya.
Hiyo Aya inazungumzia kusoma kama kusoma.
Hakuna mambo ya jitihada, kuvumilia, kujifunza uliyoongezea wewe.

Na context ya hiyo aya hapo ni jibril alikuwa amtokea mtume pangoni, akawa amemkaba anamwambia mtume asome maandishi yaliyo mbele yake, mtume akawa anasema hawezi kusoma.
Ndio akaambiwa asome kwa jina la Allah.

Kwahyo kusoma hapo ni ile ya dictation kama unavyosoma imla au unavyosoma bango.
 
Sijaongezea maneno yangu, nimetoa hiyo summary baada ya kupitia aya karibia zote na hadithi zinazohusu elimu na kusoma kwa ujumla .Soma hapo chini aya wewe unasema kusoma ni kusoma tu mimi nimesema kunahusisha mambo mengi
a5f2caddb3275574258b477d01740d05.jpg

9f7917d4eef5c95ee53110576ad578f8.png
Wewe kafiri celebrity forum ndiyo inayokufaa kufanya uchambuzi kuliko kujifanya unajua katika vitu ambacho hauvijui , nasikitika sana hata misingi ya 'Exegesis of Qu'ran ' hauijui halafu unajikuta mjuaji#PoorYou
 
Sijaongezea maneno yangu, nimetoa hiyo summary baada ya kupitia aya karibia zote na hadithi zinazohusu elimu na kusoma kwa ujumla .Soma hapo chini aya wewe unasema kusoma ni kusoma tu mimi nimesema kunahusisha mambo mengiView attachment 2398173

View attachment 2398176Wewe kafiri celebrity forum ndiyo inayokufaa kufanya uchambuzi kuliko kujifanya unajua katika vitu ambacho hauvijui , nasikitika sana hata misingi ya 'Exegesis of Qu'ran ' hauijui halafu unajikuta mjuaji#PoorYou
Okay, hapa nimechanganyikiwa, , hivi tunajadili hiyo aya iliyowekwa kwenye huo Motto au tunajadili aya zote na hadith zote zinazohusisha kusoma kwenye uislam?
Hapa tunajadili hiyo aya moja tu waliotumia kwenye huo motto na tafsir yake, aya inahusu nini basi...wewe unaanza kuniambia umesoma Quran nzima na hadith zote sijui hadith fulani inasemea nini kuhusu kusoma na elimu..mimi hayo sijaulizia....Em mkuu usipoteze lengo, usisahau tulikotoka ili ujue tunakoenda.

Exegesis ya Quran naijua na ndio huwa mnaitumia kupotosha, unakuta mtu anataka aweke aya zingine au hadith ambazo hazihusiani ili kupush agenda yake.
Wewe unayeijua exegesis, kuwa mkweli...hiyo hadith uliyoweka hapo inahusiana na hiyo Aya tunayoizungumzia?? Weka ushahidi (ukiweka naacha kutumia hii ID milele)

Mimi nmekwambia hapa siongelei mawazo yangu kuhusu iyo aya, natembea na tafsiri za wanazuoni kina ibn kathir, Ala-maududi nk. waliosomea hizi exegesis. Sio watu kama nyie mnaoishi kwa mihemko.

Hiyo Aya hadith zake ni zile za kukabwa pangoni na jibril.
Hiyo celebrity forum ndio nini? Nipe link.
 
Attachments

  • Screenshot_20221026_101350.jpg
    Screenshot_20221026_101350.jpg
    61.6 KB · Views: 4
Hakuna kilichokosewa hapo iyo ni aya imekuwa quoted
Hapa umemaliza. Suala ni kuelimishana katika maeneo usioyajua. Mtoa hoja na wafuasi wako mmepatiwa hoja, nafikiri imetosha.

Najua mtoa hoja hakujua kuwa hayo ni maneno toka kwenye aya ya Quran. Nampongeza kwa kudadisi, maana huko ndio kufahamu.
 
Back
Top Bottom