Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Aliumba Mwanadamu kwa tone la damu au kwa udongo?Waislam wanaamini kua katika ule msahafu wote unauona pale ulivyo mkubwa vile Aya ya kwanza kabisa kushuka ilisema Soma Kwa jina la Mungu (Allah) wako. Hii ndio amri ya kwanza pia aliyopewa Mtume wao Muhammad Peace be upon him.
Aya hii inapatikana katika surat Alaq ambayo ni sura ya 96 kwenye mpangilio wa msahafu. Ni Aya ya kwanza kabisa kwenye hiyo surat Alaq.
Aya hii Kwa kiarabu inasema
96.1 - Iqra' Bismi Rab'ika Ladhi Alaq (Soma Kwa ajili ya Muumba wako).
96.2 - Alaqal In-Saan Min Alaqin (Alieumba mwanadamu Kwa tone la damu).
Kwa hiyo wewe unaweza ukaona kama ni motto tu wa chuo lakini Kwa Waislam hii ndio aya ya kwanza kabisa kupewa Mtume wao Muhammad Peace be upon him so ina umuhimu mkubwa sana.
Vipi Sheikh?