mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ingekuwa bora mngetuonesha aliyekamatwa nazo lakini si kutuonyesha kwamba zimekamatwa wakati mtuhumiwa hayupo ndio nini sasa,labda mumeamua kupotosha umma ili ieleweke kuwa ni kweli kumbe usanii ,sasa nimeanza kuona umuhimu wa kuzima mitandao maana haya wanaoona hawafiki hata 1000
Hayo maigizo ya wachaga hawa, wote hao wanaongea kilughalugha cha kichaga.
Hizo karatasi hakuna hata karatasi moja ya kura kwa waliopiga kura leo. Ni makaratasi ya sampuli walizokuwa wanafanya CCM kwenye semina zao namna ya kupiga kura.
Angalia hapo hayo makaratasi sio ya NEC.
HUU USANII WENU MWISHO LEO.
Mkuu kwanini wachome Ushahidi?
Ndio sheria hii, nilijua tu wewe ni vuvuzela wa lumumba unayeropoka kujibu utumbo ili kujifurahisha wewe na wajinga wenzako, wewe ni mdoli tu.Jazba kama lote[emoji16][emoji16][emoji1241][emoji870][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji106]
SaitakuajeππUshahidi upelekwe kwenye mahakama ipi?.au kituo gani Cha polisi ?.
Tuanzie hapo
hawa nao wajinga,huo ulikuwa ushahidiMungu akupe upofu ikiwa unajua lakni unajifanya hujui.View attachment 1614639View attachment 1614640View attachment 1614641
Pole mwaya, nitakujibu kesho asubuhi nikimaliza majukumuπππNdio sheria hii, nilijua tu wewe ni vuvuzela wa lumumba unayeropoka kujibu utumbo ili kujifurahisha wewe na wajinga wenzako.
kweli kabisaaaaaa.. wasipo shitaki.. wanyamaze tu..wanajua leo wanapigwa kihistroria bila wasiwasi...ππππSaitakuajeππ
Saitakuaje[emoji41][emoji41]
hawa nao wajinga,huo ulikuwa ushahidi
Sijui leo nipoje yaani tangu nimeamka naskia kale kawimbo ka Zuchu maskioni...Leo Halimwa anaweweseka.. haa haaa haaaaa.. ni kama lipania leo iwe ngumi ngumi.. bahati mbaya ni kwamba Kawe wamemchoka.. hata aki copy makaratasi na kudanganya ya Magufuli.. hayatamsaidia.. akalale tu.. sio kutaka kupigana na polisi.. π π π π π
Aah Mkuu! ..uko mbali sana πHatuwezi kuongozwa na mtu mwenye risasi kwenye kalio
You know nothing. Zaidi labda kucheka cheka tu kama kamdoli.Pole mwaya, nitakujibu kesho asubuhi nikimaliza majukumu[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwani kesi utaipeleka wapi? Ni heri wamechoma ili polisi wasije wakazichukua na kuzirudisha kwenye masunduku ya kura.Nami hili limenifikirisha
kweli kabisaaaaaa.. wasipo shitaki.. wanyamaze tu..wanajua leo wanapigwa kihistroria bila wasiwasi...[emoji172][emoji169][emoji169][emoji172]