Sumti
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 2,342
- 2,193
Hovyooooo, pumbvu weweeeeeeeee2020 - 2025 nchi haitawaliki, vyombo vya dola wanatakiwa wawe makini au lasivyo nchi inaharibika ndani ya muda mfupi sana.
Hatua inayofuata ni wananchi kuingia mtaani, kama mambo haya yataendelea.
Wananchi wa Kawe watazaa na huyo mcheza filamu za X wanaolazimishwa kupewa na CCM.