Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Sio kwa kura halali. Haya tuliwaambia toka mwanzo uwezo wa ccm kushinda kwa kura halali haupo. Imeisha hiyo.
Kwa uwezo wa Mungu,maombi ya Rashid Gwajima Mungu atayajibu Inshallah.
 
Aisee alafu Jumapili mapema kabisa Gwajima/ Rashid atasimama madhabahuni kutulisha neno la uzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho,kura unayokwenda kudumbukiza kwenye sanduku haina namba kabisa,kwa hiyo hakuna uhusiano wowote na mawazo yake,nimepiga kura na sijaona karatasi ya kura ikiwa na namba hizo wala sirio namba,uhongo mkubwa
 
Sasa kura feki unazitoa wap maaana kura zinazohesabika ni ambazo zpo kwenye boxi, chadema bana! kichapo kipo pale pale
 
Nani afe kwa wizi wa wazi wa kishamba
Orodha ya wapia kura kubwa kuliko uhalisia
Mnasubiri tukimaliza wapigakura halisia muanze kujaza uongo
20201028_084441.jpg
 
Uchaguzi ushaharibika tayari
Ushenzi huu ulitarajiwa
Halafu kuna mtu anasema Time iko huru
 
Ila pia yawezekana mtu kachapisha ili waonekane wabaya, mana kama zimekamatwa wangeonesha aliekamatwa
Ni mipango tu
 
Back
Top Bottom