Gwajima atazawadiwa ubunge siyo kwa kushinda kwa kura bali kwa kura za wiziImagine, Kama kituo kimoja iko hivo Vip maeneo mengi nchi nzima. Mfumo WA uchaguzi umepitwa na wakati. Yaan mazingira ya kupiga kura bado Yanatoa mwanya Sana Wizi kufanyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima atazawadiwa ubunge siyo kwa kushinda kwa kura bali kwa kura za wiziImagine, Kama kituo kimoja iko hivo Vip maeneo mengi nchi nzima. Mfumo WA uchaguzi umepitwa na wakati. Yaan mazingira ya kupiga kura bado Yanatoa mwanya Sana Wizi kufanyika
Bora wamechoma moto ushahidi unaweza ukayeyuka maana matokeo ya urais hayapingwi mahakamani#Kurazidhaniwadho ni batili/feki: Kwanini hizo karatasi zinazodaiwa ni feki zichomwe harakaharaka hivyo wakati ni ushahidi kumtia mtu hatia? Kwanini hao watu wamejichukulia sheria mkononi kuharibu ushahidi wakati kufanya hivyo ni kosa ndani ya kosa?
Mtuhumiwa yuko wapi na inawezekanaje awakimbie na kuwaacha wananchi wengi kiasi hicho? Kwa kitendo cha kuingilia kithibiti (Tangible evidence) tayari mmeharibu taarifa hiyo kuaminika pasipo kuwa na shaka.
Next time please be patient taking such risk decision which implication is averse to assure your integrity. It seems like this is a cover story to trigger desperate emotions among the voters which is unacceptable during the poling process.
Visingizio na maigizo ruksa
Asikofu gani mwiziMajizi wazoefu
Wanaweza kunyang'anywa zikarudishwa kwenye sanduku la kura,bora wazichome tuHawakutakiwa kuzichona moto. Sasa unachona ushahidi.
Tumemaliza kazi tayari, kuandamana ni juu yenu na kuwavunja ugoko ni kazi yetu2020 - 2025 nchi haitawaliki, vyombo vya dola wanatakiwa wawe makini au lasivyo nchi inaharibika ndani ya muda mfupi sana.
Hatua inayofuata ni wananchi kuingia mtaani, kama mambo haya yataendelea.
Wananchi wa Kawe watazaa na huyo mcheza filamu za X wanaolazimishwa kupewa na CCM.
Askofu wa wajinga huyo anaiba pia.Bishop chidi jizi kumbe
Teh teh teh, inaonekana waigizaji hata hasakujua rangi za karatasi za kupigia kura. Sisi ambao tumeshapiga kura, hapo rangi ambayo angalau imefana nazo ni ya diwani. Jf huu upuuzi uangalieni vinginevyo mnaruhusu upotoshaji wa makusudiHayo maigizo ya wachaga hawa, wote hao wanaongea kilughalugha cha kichaga.
Hizo karatasi hakuna hata karatasi moja ya kura kwa waliopiga kura leo. Ni makaratasi ya sampuli walizokuwa wanafanya CCM kwenye semina zao namna ya kupiga kura.
Angalia hapo hayo makaratasi sio ya NEC.
HUU USANII WENU MWISHO LEO.
Hakuna aliyemchagua magufuli bali kilichofanyika ni wizi wa kura tu ni Aibu kuwa na Rais asiye chaguo la wananchiAibu imekushika vibaya sana, yuko kuwa tunaambia Magufuli hana sifa ya kushinda kwa kura. Na hiyo tabia yake ndio kaipeleka rasmi ccm. Hii tabia ya kunajisi box la kura ndio imepelekea watu kupuuza zoezi zima la upigaji wa kura. Nenda kwenye vituo vya kura uone watu walivyo wachache. Nani atashiriki upuuzi wa hivyo?
Zanzibar ndiyo imetia doaAibu imekushika vibaya sana, yuko kuwa tunaambia Magufuli hana sifa ya kushinda kwa kura. Na hiyo tabia yake ndio kaipeleka rasmi ccm. Hii tabia ya kunajisi box la kura ndio imepelekea watu kupuuza zoezi zima la upigaji wa kura. Nenda kwenye vituo vya kura uone watu walivyo wachache. Nani atashiriki upuuzi wa hivyo?
Habari za kipuuzi kama hizi zinafikaje JF
Si ndo hapo🤣🤣🤣🤣 hamna ata mmoja wao aliyeona hilo.labda visingizio tu,unachomaje evidence kirahisi hivyoSasa si wanaharibu ushahidi?
Mnaziita propaganda ilihali mnagharimu maisha ya watu... Stupid is what stupid doesPropaganda za kitoto hizi,jpm ndo rais wetu sote
Halima aendee juu arudi chini.
anenepe akonde.
alale aamke.
lakini Kawe ataisikia kwenye radio.ubunge tena hapati.
Nani afe kwa wizi wa wazi wa kishambaKuanzia kesho asubuhi tegea tv uangalie, msije mkaanza kujiua
Askofu wangu katika kashfa ya wizi sasa