Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Hovyooooo, pumbvu weweeeeeeeee
 
Hizo ni mbwembwe za mitaani.
Kwani huwezi chapisha makaratasi?
Ushahidi wameuharibu.
Ingependeza wataalamu wakapewa kuhakiki karatasi kama ni halali au fake.
Ushahidi wampelekee nani.?
 
Kuna mpambe mmoja wa Gwajima aliniambia kuwa usiku wa jana wanakwenda kufanya hiyo kazi. Nawaonea huruma wanaotoa sadaka kumpa huyu.
Ulaaniwe wewe na ukoo wako wote, kama uyasemayo hapa ni uongo. Imekuwa
 

Halima Mdee kaenda mpaka kituo cha kura polisi wakamzuia kuficha aibu. Wamempeleka kituo cha polisi kuandika maelezo ili kumtisha.
 
Sauti ya zege kwisha habari yake. Bishop Gwajima yuko smart kuliko wewe bibi kidude.
 
Mjinga wewe, ushahidi kwa mahakama zipi za kutoa haki nchini? Zaidi sana policcm wangewavamia na kuyapora hayo masanduku kisha wao kuumizwa. Kuyachoma moto ni sahihi. HAKUNA kitakachoongezwa kwenye tallying ya kura.
Wewe ni mzushi mkubwa kabisa..mabox ya kura fake halafu mnadai kura zimeshikwa au kukamatwa?! Inaelekea wewe ni unaunga mkono wale waliochoma ofisi za Chadema kule Arusha na kudai ni CCM wamechoma...yaani mnaandaa kura fake na kuzichoma kwa lengo la kuichafua nchi...utanufaika vipi...kitendo mlichofanya ni Cha kishenzi kabisa...
 
Binafsi niliacha kuheshimu wana siasa, mtu anaingia madarakani kwa njia kama hizo alafu anakuhimiza uheshimu sheria!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…