Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kuna mpuuzi wa kuingia mtaani.....video yenyewe wanatuma kwa kufichaficha sura kujiamini 02020 - 2025 nchi haitawaliki, vyombo vya dola wanatakiwa wawe makini au lasivyo nchi inaharibika ndani ya muda mfupi sana.
Hatua inayofuata ni wananchi kuingia mtaani, kama mambo haya yataendelea.
Wananchi wa Kawe watazaa na huyo mcheza filamu za X wanaolazimishwa kupewa na CCM.
Wananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawaView attachment 1614622
Wezi wa kura wanafahamika maana hiyo ni jadi yao.Wananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawaView attachment 1614622
Choma tupa kuleeee....sasa ushahidi utasaidia nini?Hawakutakiwa kuzichoma moto. Sasa unachoma ushahidi.
Wewe ni kabox kweli... Halima atoe wapi ballot papers?????Halima kazitengeneza asingizie CCM
Yaani kajishusha chini sana.. kideo anaulizwa zipo wapi.. eti elfu 10.. hana hata moja mkononi... watu wake wanadai kuchoma kumbe mafiksi tu..
Leo [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
Halafu wapo kimya wanasubiri kura za kuweka historia
Kura zimeonekana? Au n blabla?Halima alizoea ujanja ujanja safari hii umepatikana. Wewe tengeneza habari kwa mabeberu wako, lakini jimbo hupati.
Ndo ujue propaganda hizo[emoji38][emoji38] unishike na bangi then uchome moto[emoji849][emoji849]Hawakutakiwa kuzichoma moto. Sasa unachoma ushahidi.
Halima Mdee kaenda mpaka kituo cha kura polisi wakamzuia kuficha aibu. Wamempeleka kituo cha polisi kuandika maelezo ili kumtisha.Halima Mdee kaenda mpaka kituo cha kura polisi wakamzuia kuficha aibu. Wamempeleka kituo cha polisi kuandika maelezo ili kumtisha.
Nimeiona miwani yake kwenye ile karatasi basi nilichofanywa nikutafuta jina la Askofu lipo wapi, halafu nikamchinja mtu nikiwa ndani ya kale ka chumba maalum.Waongo tu hao kwenye kituo zitaingiaje.Halima huna chako ujaribu kuhadaa wananchi
Hiyo access ya ballot papers Chadema wanaitoa wapi? So unataka kuniambia NEC ni fraud[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chadema mliandaa kura feki mkashindwa kuingiza kwenye sanduku sasa mnazichoma
Wataalam ambao ni policcm na nec? Pumbaafu!Hizo ni mbwembwe za mitaani.
Kwani huwezi chapisha makaratasi?
Ushahidi wameuharibu.
Ingependeza wataalamu wakapewa kuhakiki karatasi kama ni halali au fake.
Ndiyo maana yake.Hiyo access ya ballot papers Chadema wanaitoa wapi? So unataka kuniambia NEC ni fraud[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe umepiga kura au uko mtandaoni kuzusha uongo? Nyie wenyewe mlikuwa mnapiga kelele kuwa mtajitojeza kwa wingi Sasa inakuwaje Tena mnasema watu wamepuuza? Very stupid...kwa hiyo wale waliokuwa kwenye mikutano ya kibaraka wa mabeberu nao wamepuuza au tuseme hawakuwa wapiga kura?Mtapika data sana, nenda kwenye vituo vya kupigia kura, hiyo idadi mliyopika ya 29m+ inawaumbua. Kuna wapiga kura wachache kupita maelezo. Watu wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
HAKIMwenzako yuko korokoroni sasa,
Hebu angalia kwa umakini uniambie kama polisi hawapo hapo..Ushahidi kuchomwa moto bila vyombo vingine kushuhudia ni utata mwingine
Tukusema hizo kura waliandaa chadema, halafu wakazikamata chadema wenyewe ili kuchafua zoezi la uchaguzi, kisha wakazichoma moto ili kupoteza ushahidi tutakua sawa zaidi
Maendeleo hayana vyama
Cc Mariki boy Pendael24 Bia yetu cocochanel 1954 Wakudadavuwa NAWATAFUNA Da'Vinci
Huyu Gwajima halafu kesho-keshokutwa akahubiri kanisani. Ujinga mtupu hawa wanaojiita watumishi wa Mungu na makanisa yao.
Halima alizoea ujanja ujanja safari hii umepatikana. Wewe tengeneza habari kwa mabeberu wako, lakini jimbo hupati.
Halima alizoea ujanja ujanja safari hii umepatikana. Wewe tengeneza habari kwa mabeberu wako, lakini jimbo hupati.
Tangu lini NEC wakawapa Chadema ballot papers mkuu?Ndiyo maana yake.
hahaha a porn star ni smart? ...oooh fuk give me a break !!!Sauti ya zege kwisha habari yake. Bishop Gwajima yuko smart kuliko wewe bibi kidude.
Rashida gwajuma kaumbuka na chama chake cha mapuuzaWananchi wa Kawe wakichoma moto kura za maruhani zilizokuwa tayari zimeshapigwa kwa wagombea wa CCM. Mungu wabariki wananchi hawaView attachment 1614622
Gwajima is too tough for Halima zege. Hatimaye jimbo limerudi.Porojo za wafa maji, chadema ni ma losers