Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Uchaguzi 2020 Kawe, Dar: Kura feki zanaswa, Wananchi wazichoma moto!

Kama unajadiliana na kiazi Bila Shaka huna kitu kuchwani...wazushi wakubwa nyie...yaani mnaandaa kura fake na kuzichoma Moto ili iwe Nini?
Hawana akili kabisa, eti wanachoma moto? Umeona wapi mtu akateketeza ushahidi?
 
Kama unajadiliana na kiazi Bila Shaka huna kitu kuchwani...wazushi wakubwa nyie...yaani mnaandaa kura fake na kuzichoma Moto ili iwe Nini?

Hizo alizofuata Mdee kituo cha kupigia kura na polisi wakamzuia kuficha aibu je?
 
Imagine, Kama kituo kimoja iko hivo Vipi maeneo mengine nchi nzima. Mfumo wa uchaguzi umepitwa na wakati. Yaani mazingira ya kupiga kura bado Yanatoa mwanya Sana wizi kufanyika
Hakuna anayeongelea sheria ya uchaguzi baada ya uchaguzi. Si CCM si Chadema. We ushawasikia wapi?
Wite wameridhika kufanyia huu uchaguzi na sheria hiyo.
 
Hakuna ushahidi ulioharibika, kuna ushahidi mpaka wa video.
 
Wapiga
Mtapika data sana, nenda kwenye vituo vya kupigia kura, hiyo idadi mliyopika ya 29m+ inawaumbua. Kuna wapiga kura wachache kupita maelezo. Watu wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
20201028_140934.jpg
Endeleeni kulala
Msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji anazidi kuchinjwa
 
Wazushi wakubwa nyie...mwambie hivyo baba yako mzazi na pia mama yako aliyekuzaa...mwambie baba nenda kakojoe ulale halafu nenda kwa mama yako aliyekuzaa mwambie mama kakojoe ulale
Jinga wewe. Narudia, kakojoe ulale. Hanithi wa fikra.
 
Back
Top Bottom