GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo.
Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na Bajaji ) kuacha kutumia Bangi na Pombe kisha zinawalevya na Kuwachanganya Akili mpaka Kufikia ama Kujeruhi au Kuua kabisa Watu wanaohitilafiana nao Barabarani.