Zuriiii
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 205
- 354
Mpige makofi ule bisibisi ya moyo ukapigiwe saluti na mizoga huko makaburini. Maisha hayana ubabe hekima na nidhamu binafsi ni Heri kuliko. Haya kafaidika nn na mibao yake??? Mvuta bangi always maisha yake ni km mfu kila siku bora ya jana haya huyo kaacha cheo, mke, familia, mshahara mzuri na marupurupu, sifa na kupigwa saluti, nk kwa ajili ya kukosa nidhamu binafsi. Nani kapoteza zaidi.??Baadhi ya raia ni wajinga sana wanatumia mihadarati mda wote alafu eti na yeye ni dereva bodaboda, mda wote mtu kaweka ugoro mdomoni akipumzika kavuta bangi akipumzika energy drink akipumzika anakula mirungi akipumzika Sungura hapingwi, pumbavu kwanini usipigwe makofi?