Maisha hayaNi kweli kabisa,kuna majibizano ya kijinga tu yanaweza kuleta maafa.
Natoa mfano.
Kuna bwege mmoja bouncer hivi ana bibi yake mrangi ni mzuri ila umwangalie sana.
Sasa jamaa akawa anamfata mitaa yake ya kazi(changudoa) tena wale wa barabarani kabisa
Mara siku kuna Mwamba katoka zake huko,
Hakua na huyo bibi,
Bibi yuko mbele jamaa anakuja nyuma yake nae katoka kwingine kabisa.
Yule Bouncer kuona wanakuja wameongozana kajua huyu ndo mgoni wake kwa( changudoa)
Kamrukia mshkaji pigana sana,
Alipoona unga unazidi kavunja chupa kaanza kumchana nayo jamaa tumboni.
Bahati nzuri bibi yake mwenyewe alikimbilia kusema kwa watu kijiweni kuna mtu anauliwa huku
Likaja Nyomi kufanya uokozi.
Bouncer kakimbia.
Yule jamaa katibiwa kapona baada ya muda sana akaenda eneo la tukio ,kamkuta yule mwanamke kwanza kamtafuna na mwanamke akatoa tips zote za jamaa yake.
Yule bouncer kilichomkuta anakijua mwenyewe.
Ndo tunasema usimchokoze mamba akiwa kasinzia.
Akiamka utatafuta pa kutokea.
KAPAFONA
Hii iliwahi nitokea kiwanja popular sana hapo mjini Daslam, nimetoka kula vyombo mida around saa tisa usiku nikampa demu funguo za gari atangulie kwenye gari, mimi nikaenda kwanza washroom,
wakati narudi natokea mlango wa exit nisepe, mbele yangu kulikua na mdada so tukawa kama tunaongozana, kumbe jamaa yake alikua nyuma kidogo na alihisi niko na yule demu wake,
lahaula, nilipigwa ngumi moja ya mgongo vuuup chini, ile nanyanyuka nikaongezewa teke, nikarudi tena chini, jamaa anataka kuniongezea na chupa ya kichwa, Mungu saidia nikaishika,
kumuuliza shida nini mzee, ananiambia kwann unaondoka na demu wangu, na viingereza vingi, you know am sijui nani, nikampigia demu wangu simu akaja, nikamuuliza mbona mm demu wangu huyu hapa mzee,
Yule jamaa nilichomfanya Mungu anisamehe,
ninachokumbuka alikimbia akaacha viatu, kaacha demu, simu, na funguo ya gari pia aliacha pale chini, na nasikia ile gari ilikaa pale siku mbili bila jama kurud,
demu wake alilia sana, mpaka huruma, lakin alikiri jamaa yake alikua na makosa maana hata demu hatukua tunafahamiana
pamoja na kumsulubu lakini kesho yake nilitafakari sana hv jamaa wakati amenivaa bila mm kujua angenipiga nikadondoka vibaya labda nikafa ingekuaje, wangesema aliniua bila kukusudia maana mimi nilikua sina habari wala hatia yoyote
fakamia fakamia watu, kifo kinakuita