Unaeleza ujinga tu,namna ya mwanajeshi kuendelea kumlinda mwananchi,yaani kutimiza majukumu yake,mwananchi anapaswa alipe kodi ili pesa zipatikane za kumlipa huyo(mwanajeshi),ili atimize majukumu yake kwa uweledi.Katika majukumu yake,kupiga raia siyo jukumu lake,na kama siyo jukumu lake,raia anatakiwa ajilinde dhidi ya huyo askari ambaye amelishwa na raia,akagharamiwa mavazi,mafunzo na mpaka malazi na raia.Raia hatakiwi kutwndewa ndivyo sivyo,ilhali anatakiwa alindwe ili afanye kazi mfano za kuendesha bajaji,bodaboda,ualimu n.k ili pesa ya kodi ipatikane,ambayo itaenda kwa mwanajeshi kama posho na mshahara.