Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Hawajapandishiwa bei , bei ni ile ile tu !Ndo nasema jengeni zenu Kwa pesa mlizikopa na mzifanye za biashara mpate faida.
Hizo Zina maelekezo ya marehemu kuwa wapewe hao maskini waliopo kipaumbele.
Sasa kuwapandishia Bei Ili muwafukuze, hizo ni HILA.