Kaya 644 Magomeni kota zagomea kusaini mkataba kununua nyumba

Hizo nyumba wanatolewa kijanja janja

Ile miaka mitano waliyopewa wakae bure. Sijui kama wataimaliza
Awamu hii kama ulikuwa kundi la wanyonge hesabia maumivu. Naona kuna mpango wa kuweka elite class kwenye hizo ghorofa esp. Wahindi na wafanyabiashara wa kariakoo.

I smelt this toka ule wakati wa kuwarudisha mjengoni. Baada ya ujenzi kukamilika.
 
Kama ni kukaa bure, wamepewa grace period ya miaka mitano ya kukaa bure, baada ya hapo ama wahame au wanunue.
Kwenye hiyo miaka 5 siamini kama waliishi humo wengi watakuwa wamepangisha wanakula kodi!

Now wanataka kutusua kabisa wauziwe na NHC kwa bei poa halafu wao wauze kwa mamilioni
 
Awamu hii kama ulikuwa kundi la wanyonge hesabia maumivu. Naona kuna mpango wa kuweka elite class kwenye hizo ghorofa esp. Wahindi na wafanyabiashara wa kariakoo.

I smelt this toka ule wakati wa kuwarudisha mjengoni. Baada ya ujenzi kukamilika.
Kuwapa miaka 5 ya kukaa bure ilikuwa ni makosa!
 
Sijaongelea kushindwa uchaguzi; nimeongelea uwezekano wa Serikali kuchafuliwa pasipokuwa na ulazima. Zaidi ninachosema hapa ni kwamba, inahitajika hekima ya kipekee zaidi ku-deal na swala hili kwa sababu bei waliyopewa ya nyumba inaweza ikawa ni reasonable; lakini sasa si wamesema kwamba iko juu? Unaona sasa kizingiti hiki?
 
Hata mimi napenda kuishi Masaki lakini najua kwamba sina uwezo huo ndio maana naishi nje ya mji kabisa!
 
Tanzania itaendelea siku ikiacha leo umasikini
 
Hata mimi napenda kuishi Masaki lakini najua kwamba sina uwezo huo ndio maana naishi nje ya mji kabisa!
Uko sahihi kabisa. Tofauti na wewe, wao sasa ndiyo walikuwa wanaishi pale siku zote, possibly tangu kuzaliwa. Hata hivyo usiwe na wasiwasi, Mama ata-solve vizuri tu, ni kitu kidogo sana hiki kwake
 
Ni Reasonable ikiwa una million 400 kwenye account zimelala tu. Kwa mtu ambay account yake haina hata million 5 huoni ni kama kiama kununua rum 2 kwa million 40
 
Harukujenga sisi? Unadhani sisi hatulipi kodi kama wewe?
 
Hapo kuna wanasiasa wameingizwa tayari
Kuna wanasiasa wanazitaka hizo nyumba na watakachokifanya watazinunua na kuingiza wapangaji wao. Mtu mwenye hela town hawezi shindwa kununua apartment ya 56M tena kuna ambao anaweza akanunua floor nzima kisha akaanza kupangisha kwa laki 6 kila apartment.

Utamwambia nini na eneo ni Center kabisa kariakoo Dakika 5 ushafika 🀣🀣🀣, Posta dakika 10
 
Tuache roho mbaya humu, hata wakigawiwa bure haina hasara, sema humu wengi mnaumia kuona wanaishi hapo hao ndugu zetu
Eeh humu wengi wivu kuona wanaoishi hapo pangu pakavu wenzetu wakati wao wanaishi chamazi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni Reasonable ikiwa una million 400 kwenye account zimelala tu. Kwa mtu ambay account yake haina hata million 5 huoni ni kama kiama kununua rum 2 kwa million 40
Nakubali. Lakini wewe unadhani ni sahihi serikali ijenge nyumba halafu iziuze kwa bei ya hasara? Na kwa nini iwe kwa hao watu wa Magomeni na siyo vijijini kwenye umaskini mkubwa?
 
Nakubali. Lakini wewe unadhani ni sahihi serikali ijenge nyumba halafu iziuze kwa bei ya hasara? Na kwa nini iwe kwa hao watu wa Magomeni na siyo vijijini kwenye umaskini mkubwa?
Hao si walivunjiwa nyumba zao za chini kwenye hilo eneo.
 
Me ngoja nifanye mpango nkachukue chumba hapo hao waache kupiga kelele kama hela hawqna watuache sie wenye hela tukakae me nalipa kodi milion moja nkipata hapo ntashukur kwa kweli
Kwa million moja hapo kitakachofanyika watakuja watu watanunua hizo nyumba kwa cash. Kisha wataendelea kukupangisheni kwa laki 6 hadi million 1 hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…