Kayoko ni mwamuzi mbovu ila kwenye hii derby kila timu imeathirika na maamuzi yake ya ovyo tofauti na Simba wanavyoona ni wao pekee

Kayoko ni mwamuzi mbovu ila kwenye hii derby kila timu imeathirika na maamuzi yake ya ovyo tofauti na Simba wanavyoona ni wao pekee

Ile mechi ya ngao ya jamii alikataa magoli mawili ya Yanga na baadae akakataa penalty ya simba ya wazi dakika za mwishoni na alifanya vile ili abalance baada ya kuwanyima magoli mawili ya wazi

Hizi mechi zinamfaa Ahmed Arajiga sababu yule kwenye white anasema hii ni white na kwenye black anasema hii ni black hanaga mambo ya kubalanceBu
Mbumbumbu hawamtaki Araniga wanasema anawafungisha
 
Back
Top Bottom