Hatujadili ubora wa elimu na wala mavazi hayahusiani na elimu, hao wanaovaa hijabu wanaa uniform hizo hizo za kawaida. Hauoni fahari kubuni mavazi yetu wenyewe kama hayo magunia kuliko kuvaa mitumba kutoka kwa wazungu?Kwani hijabu imeleta kitugani bora kwenye elimu yetu.tofauti na uniform za kawaida ?
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Yani watu wakachinjane shuleni ila wasichinjane huku mtaani,maofisini na majumbani? Kila sehemu kuna taratibu zake sasa nashindwa kuelewa huko kusema kila mtu akija na itikadi zake kisa tu hijabu!Kila mtu akija na itikadi za dini yake vsiku moja wanafunzi watakuja kuchinjana kwa mambo ya kipumbavu kwa sababu dini zinaweza kuleta matabaka
Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
Kuvaa gunia ni aibu na hakuna mvuto kwahiyo tuvae nguo za kigeni ndio tunapendeza? Hauoni fahari kubuni mavazi yetu kama hayo magunia kuliko kusubiri nguo za kigeni za wazungu tena ambazo walishavaa huko?Kwa kweli inasikitisha kuona mtoto anavalishwa magunia yaani hakuna mvuto wowote ule, ni haibu sana kwa taifa
Ingeleta maana kama dini zingepigwa marufuku yani kusiwe na dini kabisa ila kinyume na hivyo hatuwezi kukwepa athari za hizi kwa kusema et serikali haina dini halafu serikali inaitambua sikukuu za kidini na kufanya kuwa siku za mapumziko watu hawaendi kazini halafu hijabu ndio iwe suala kubwa tuseme serikali haina dini.Nchi haina dini. Hairusiwi kuvaa hijabu shuleni (Serikalini)
Kwanini wasiende kusoma msikitini (madrasa) ambako hijabu zinaruhusiwa?
Shida huwa mnashindwa kutofautisha mambo ambayo siyo ya dini na ambayo ya dini.
Kwa akili yako kuvaa magunia kichwani ni asili yetu kweli, toka lini? Ule ni utamaduni wa Waarab na hauna uhusiano wowote ni sie Waafrika.Kuvaa gunia ni aibu na hakuna mvuto kwahiyo tuvae nguo za kigeni ndio tunapendeza? Hauoni fahari kubuni mavazi yetu kama hayo magunia kuliko kusubiri nguo za kigeni za wazungu tena ambazo walishavaa huko?
Propaganda isiyoshtua. Kitoto zaidi.Tatizo sio nchi. Quran inasemaje? Hata Vatican imeruhusu ushoga. Jee wakiristo waunge mkono?
Wee mwenyewe shoga!Tatizo sio nchi. Quran inasemaje? Hata Vatican imeruhusu ushoga. Jee wakiristo waunge mkono?
Si umesema gunia mkuu? Sasa muarabu na magunia wapi na wapi? Waarabu wanavaa kanzu sio magunia, labda nikuulize wewe sisi waafrika nguo zetu za asili au zenye kututambulisha sisi kama waafrika ni zipi?Kwa akili
Kwa akili yako kuvaa magunia kichwani ni asili yetu kweli, toka lini? Ule ni utamaduni wa Waarab na hauna uhusiano wowote ni sie Waafrika.