Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Mbona unanitisha..Wakopeshe tu watu hela uone ilivyokazi watu kuleta marejesho.. kichwa mda wote kinawaka
Wangoni washenzi sana🤨🤨
Mbona unanitisha..Wakopeshe tu watu hela uone ilivyokazi watu kuleta marejesho.. kichwa mda wote kinawaka
Wangoni washenzi sana🤨🤨
Vyote vya kushoto!
Kila siku hesabu haitimiiMapema tu abiria wabishi sio 🙂 au kuchanganya chenji
Zaman watu walikuwa waoga wa madeni ila siku hz wamekuwa wajasiri sana ndo wamepelekea hii kazi kuwa ngumuWakopeshe tu watu hela uone ilivyokazi watu kuleta marejesho.. kichwa mda wote kinawaka
Wangoni washenzi sana🤨🤨
Unamwambia alipeMtu anakwambia saga hivyo hivyo nimesafisha,unakumbana na sarafu!
Noma sana
Kwan hujui mali mbichi mzeeMali mbichi 😅 zipi hizo
Sio poa mdomo ushaungua kwa fegiHahaha huyo dereva noma sana 😅
PoleMkuu hivyo vitu vigeni kwangu si umeona nimemaliza form four kipindi cha Covid
Nakubali ila kazi inachosha iyo sio poaMadereva wa hivyo ndio wanadumu na konda aliepinda akili Dereva moto konda moto na wapiga debe moto ukipanda hilo gari utakubali tu
For real watu sikuizi hawaogopi hata kupelekwa mahakamaniZaman watu walikuwa waoga wa madeni ila siku hz wamekuwa wajasiri sana ndo wamepelekea hii kazi kuwa ngumu
Saa10 chuma inabidi iwe road afu kulala saa 3,4 mpaka 5 aaah hapo lazima udate ndio maana wanasahau kupiga hata mswaki akikusogelea "una chenji ya buku tanoo" unaweza kuomba ushuke 😅Nakubali ila kazi inachosha iyo sio poa
Usingizi kidogo tu alfajiri hii apa ndio maana wana vichwa vipo res😁