Kazi gani ukiifanya lazima kichwa kiwake moto?

Nakubali ila kazi inachosha iyo sio poa
Usingizi kidogo tu alfajiri hii apa ndio maana wana vichwa vipo res😁
Saa10 chuma inabidi iwe road afu kulala saa 3,4 mpaka 5 aaah hapo lazima udate ndio maana wanasahau kupiga hata mswaki akikusogelea "una chenji ya buku tanoo" unaweza kuomba ushuke 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…