Kazi gani ukiifanya lazima kichwa kiwake moto?

Saa10 chuma inabidi iwe road afu kulala saa 3,4 mpaka 5 aaah hapo lazima udate ndio maana wanasahau kupiga hata mswaki akikusogelea "una chenji ya buku tanoo" unaweza kuomba ushuke πŸ˜…
Harakati za mtu mweusi boss 😁😁

Apo bado hujawatafutia ya chai wazee wa fea/traffic
 
Hiyo busainess ni ngumu sana japo ni ya kuweka bond kitu akishindwa kulipa inakupa kazi ya kutafuta mteja wa kununua iyo bond ili uambulie hela yako japo unaweza kupata hasara
Ni changamoto kwelikweli
 
Hakuna biashara ngumu kama ya kukopesha hela ile sio isee.. kuna siku nilimkopesha mteja laki 3 na nusu tu.. baada ya kama siku tatu nikamgumia jamaa yupo na bag stand ameshakatiwa na ticket ya katesh oya sio poa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…