Kwa beginner anayetaka kuanza hii business anatakiwa awe makini kwelikweli kuanzia kwenye kuthaminisha dhamana, biashara mteja anayofanya , wadhamini yaani inabidi kila angle uitilie mkazo kwelikweliHahahahaha nimesikitika sana
๐ ๐ ๐ hio kweli hapana
ila wakopeshaji nao mnazingua sometime, kuna kipindi nilikopa nikaweka bond simu kama dhamana, sharti ikabidi niitoe lock, dah kuja kuifata two weeks later nakuta imevurugwa vurugwa wamedownload migemu,apps zingine za kijingajinga, dah ila nikasema haina kwere nikayafuta haha! Chaji niliacha ina 100% wananipa iko 1%Kwa beginner anayetaka kuanza hii business anatakiwa awe makini kwelikweli kuanzia kwenye kuthaminisha dhamana, biashara mteja anayofanya , wadhamini yaani inabidi kila angle uitilie mkazo kwelikweli
Wakopeshe tu watu hela uone ilivyokazi watu kuleta marejesho.. kichwa mda wote kinawaka
Wangoni washenzi sana๐คจ๐คจ
Hamuogopi madeni ,. Yaani mtu intentionally kabisa anakopa ili asolve shida zake na asilipeSijapenda Kwa kweli!
Kwani tulikufanyaje sie watu wa sauzi mkuuu?
Chakusikitisha ametuita washenzi,Wee unakopesha wangoni wakati wao ndio wazee wa mbususu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Hao walivuka mikapa,,. Ulikopa kwa kampuni au kwa watu tu binafsi?? . Maana hata kanuni na sheria za huduma ndogo za fedha hazisemi hivyo.. kwamba collateral ya mteja itumike kwa matumizi binafsi ya mtu tu hapanaila wakopeshaji nao mnazingua sometime, kuna kipindi nilikopa nikaweka bond simu kama dhamana, sharti ikabidi niitoe lock, dah kuja kuifata two weeks later nakuta imevurugwa vurugwa wamedownload migemu,apps zingine za kijingajinga, dah ila nikasema haina kwere nikayafuta haha! Chaji niliacha ina 100% wananipa iko 1%
Asa we Sheria ya kukopesha kwani huijui ?!Hamuogopi madeni ,. Yaani mtu intentionally kabisa anakopa ili asolve shida zake na asilipe
Sheria zote nazifahamu na tunazifanyia kazi vizuri sana,. Ila tu nature ya watu wa huku ndio hiyo,.Asa
Asa we Sheria ya kukopesha kwani huijui ?!
ni kamicrofinance kadogo inasimamiwa na watu wawili naonaHao walivuka mikapa,,. Ulikopa kwa kampuni au kwa watu tu binafsi?? . Maana hata kanuni na sheria za huduma ndogo za fedha hazisemi hivyo.. kwamba collateral ya mteja itumike kwa matumizi binafsi ya mtu tu hapana
kama una mtaji wa pesa, njoo tukaongee na HR wa ofisi fulan hv hapa mtaan ili tuwe tunakopesha wafanyakazi wake afu mwisho wa mwezi tunachukua chetu kwa HR anawakata kabla hajawaingizia mshahara.Wakopeshe tu watu hela uone ilivyokazi watu kuleta marejesho.. kichwa mda wote kinawaka
Wangoni washenzi sana๐คจ๐คจ
Nipe details mkuu ,. Nipate wateja haokama una mtaji wa pesa, njoo tukaongee na HR wa ofisi fulan hv hapa mtaan ili tuwe tunakopesha wafanyakazi wake afu mwisho wa mwezi tunachukua chetu kwa HR anawakata kabla hajawaingizia mshahara.
Kopesha kiasi Cha ziada usikopeshe kiasi unachokitegemea na weweSheria zote nazifahamu na tunazifanyia kazi vizuri sana,. Ila tu nature ya watu wa huku ndio hiyo,.
Ukiachana na masuala ya sheria na hii mikopo, hata ile friendly tu watu kuazimana hela yaani ule ustaarabu wa mtu binafsi kwamba "nimeasaidiwa nimesolve tatizo, nirudishe pesa ya watu au ya mtu kwa wakati" watu wa huku Songea bado sana,.
Pole sana aiseeni kamicrofinance kadogo inasimamiwa na watu wawili naona
Kwamba upoteze hela tu bure kwasababu ni ya ziada??,. Are you normal??๐ค๐คKopesha kiasi Cha ziada usikopeshe kiasi unachokitegemea na wewe
Hapo sawaAsante nachoshukuru haikupata madhara naitumia mpaka sahivi
Nilidhani wewe utakua watofauti,. Nilikua nasubiri labda unakuja na hoja ya msingi...Hapana siko sawa ila siku utaelewa
MPAKA USEME