BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Taarifs kwa watumiaji wa gesi,
Kuanzia tar 5 feb gesi itapanda rasmi usishangae mabadiliko haya kwenye maduka madogo ya gesi
Beo wanazotakiwa kuuza n
Kg 15 54'000
Kg 6. 22'000
KG 38. 105" 000
Kumbuka hii ni bei elekezi tu muuzaji anaweza kupanda zaidi ya hapa
Ahsanteni kwa uvumilivu wenu
Taarifa hio haihusiani na migongano inayoendelea huko iran
Tunawatakia siku njema na mzidi kutumia oryx gas gesi yenye ubora
Usiniulize ya kununulia aikuhusu kama n muuzaji utaipata kwenye msg