Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila huyo boya Kangi hausilki hapo?Inawezekana nimechanganya ni kale ka 6kg huku ni 25 elfu + boda boda buku 2 is equal to 27!!
Duuu imekuwaje naji quote modsIla huyo boya Kangi haufsilki hapo?
48000 nilikuwa nanunua kwa Bei hiyoKwani bei ilikuwa shilingi ngapi? Mbona tunanunua kwa hiyo hiyo 54,000????
wapi huko?Mimi Leo nimebadili kamtungi kangu kamanjis kg 6 kwa elfu 20 na bodaboda buku Jumla elfu 22
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi Huku ni elfu 27 + boda kale kadogo nipo mkoani!
Itakuwa mkoa wambali sanaaaaaMimi Huku ni elfu 27 + boda kale kadogo nipo mkoani!
Kigoma ndo mbalii...mimi nipo tu hapa jirani yako!
Nikutumie nini?Kigoma ndo mbalii...mimi nipo tu hapa jirani yako!
Nitumie nataka kujaza gesi,sh ngapi huko?
Nitumie gesiii
Makubwaaaaaa. Tutakuwa hatupiki