Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Mara mwisho nimenujua 47000/= tarehe 6/1/2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara mwisho nimenujua 47000/= tarehe 6/1/2020
Mbona wenzao wanashushs bei?Taarifs kwa watumiaji wa gesi,
Kuanzia tar 5 feb gesi itapanda rasmi usishangae mabadiliko haya kwenye maduka madogo ya gesi
Beo wanazotakiwa kuuza n
Kg 15 54'000
Kg 6. 22'000
KG 38. 105" 000
Kumbuka hii ni bei elekezi tu muuzaji anaweza kupanda zaidi ya hapa
Ahsanteni kwa uvumilivu wenu
Taarifa hio haihusiani na migongano inayoendelea huko iran
Tunawatakia siku njema na mzidi kutumia oryx gas gesi yenye ubora
Usiniulize ya kununulia aikuhusu kama n muuzaji utaipata kwenye msg
Kwani bei ilikuwa shilingi ngapi? Mbona tunanunua kwa hiyo hiyo 54,000????
Mara mwisho nimenujua 47000/= tarehe 6/1/2020
ONYESHA MTUNGIMkuu tofautisha kununua na kujaza gesi mtungi,Mimi mtungi was 15 kg huwa naujaza kwa sh 21.000 kwa dhana hiyo Luna ongezeko ka 33000 elfu
Sent using Jamii Forums mobile app
NA HII N YA KAMPUNI MKUU MUUZAJI ANARUHUSIWA KUONGEZA LINGANA NA UNAPOLIPIA KODI UENDE SAWADuuh!! Kuna sehemu huwa nanunua gesi ya nyumbani mara kwa mara yule muuzaji kanitext asubuhi kwamba gesi imepanda nikadhania labda imepanda kidogo kutoka 47 hadi 50 mana sikumuuliza bei yake ya sasa kumbe bei ya kuuza ni kuanzia 54 elf. Aiseee.
Mtihani huu. 🤔🤔
Tooba!! Kazi ipo Mkuu.NA HII N YA KAMPUNI MKUU MUUZAJI ANARUHUSIWA KUONGEZA LINGANA NA UNAPOLIPIA KODI UENDE SAWA
Dar ni tshs. 50000.....basi huko kwenu itakua tshs58000
Sio mchezo mkuu!+6000 BEI mpya
KWINGINE mpaka 49000
Inawezekana nimechanganya ni kale ka 6kg huku ni 25 elfu + boda boda buku 2 is equal to 27!!HAKUNAAAAAAAAA KITU KAMA.HICHOOO ATA UNGETOKAA KWA KANGI
TUNAUZA GESI.MIAKA KUMI SASA