Kubadili mtungi mtupu kupewa wa gesiHiyo ni bei ya kununua mtungi na gesi yake au kujaza gesi ya mtungi husika?
Elfu 50Kwani bei ilikuwa shilingi ngapi? Mbona tunanunua kwa hiyo hiyo 54,000????
Hii ni kama kumbukumbu ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa chama au?TAARIFS KWA WATUMIAJI WA GESI
KUANZIA TAR 5 FEB GESI ITAPANDA RASMI USISHANGAE MABADILIKO HAYA KWENYE MADUKA MADOGO YA GESI
BEO WANAZOTAKIWA KUUZA N
KG 15 54'000
KG 6. 22'000
KUMBUKA HII N BEI ELEKEZI TU MUUZAJI ANAWEZA KUPANDA ZAIDI YA HAPA
AHSANTENI KWA UVUMILIVU WENU
TAARIFA HIO HAIHUSIANI NA MIGONGANO INAYOENDELEA HUKO IRAN
TUNAWATAKIA SIKU NJEMA NA MZIDI KUTUMIA ORYX GAS GESI YENYE UBORA
USINIULIZE YA KUNUNULIA AIKUHUSU KAMA N MUUZAJI UTAIPATA KWENYE MSG
Kwani bei ilikuwa shilingi ngapi? Mbona tunanunua kwa hiyo hiyo 54,000????
Unaishi wapi?
dodoma
48 mpka 50 now tutegemee 54mpka 60 hapo bado,
hujaelewa soma vizuriDuh hatari sana,kutoka 22000 mpaka 54000 hiyo bei ni zaidi ya ongezeko la asilimia 100%
U will know why Jesus said it's finished48 mpka 50 now turegemee 54mpka 60 hapo bado,
Bill ya maji maximum 15 .
Bill ya umeme maximum 10.
Kingamuzi kifurushi cha chini minimum19 (bomba).
Vichaar kwa mwezi maximum20.
Pango langu 60.
124,000+54000=178, 000.
Hujasaidia ndugu, hujala, hujasafiri hujaweka akiba+bata na vitu vingine.
... Maliasili nao wameweka road block kila baada ya mita 500; ni lazima ulipie mazao ya misitu.tutarudi kwenye kuni sasa
Oryx kwa maeneo mengi ya Dar ilikuwa haizidi 48,000/=.Kwani bei ilikuwa shilingi ngapi? Mbona tunanunua kwa hiyo hiyo 54,000????