Nadhani 22,000 hio ni kujaza mtungi mdogo na 54,000 ni kwa mtungi mkubwa.
dodge
Hiyo ni bei ya kununua mtungi na gesi yake au kujaza gesi ya mtungi husika?
Mihan 48Kwani bei ilikuwa shilingi ngapi? Mbona tunanunua kwa hiyo hiyo 54,000????
Taarifs kwa watumiaji wa gesi,
Kuanzia tar 5 feb gesi itapanda rasmi usishangae mabadiliko haya kwenye maduka madogo ya gesi
Beo wanazotakiwa kuuza n
Kg 15 54'000
Kg 6. 22'000
KG 38. 105" 000
Kumbuka hii ni bei elekezi tu muuzaji anaweza kupanda zaidi ya hapa
Ahsanteni kwa uvumilivu wenu
Taarifa hio haihusiani na migongano inayoendelea huko iran
Tunawatakia siku njema na mzidi kutumia oryx gas gesi yenye ubora
Usiniulize ya kununulia aikuhusu kama n muuzaji utaipata kwenye msg
48 mpka 50 now tutegemee 54mpka 60 hapo bado,
Bill ya maji maximum 15 .
Bill ya umeme maximum 10.
Kingamuzi kifurushi cha chini minimum19 (bomba).
Vocha kwa mwezi maximum20.
Pango langu 60.
124,000+54000=178, 000.
Hujasaidia ndugu, hujala, hujasafiri hujaweka akiba+bata na vitu vingine.
Ni balaa tupu hatutoki aisee
Huku kwetu kujaza gesi ni elfu 25 tu kg 15Kwani bei ilikuwa shilingi ngapi? Mbona tunanunua kwa hiyo hiyo 54,000????
Ziada ya Sh 7k/=Taarifs kwa watumiaji wa gesi,