Kazi imeanza gesi Oryx yapanda bei kutokana na mabadiliko soko la dunia kuanzia Feb 5

Mbona wenzao wanashushs bei?
 
Huku kwetu kujaza gesi ni elfu 25 tu kg 15
Sasa 54,000 si bora niuze tu mtungi nirudi kwenye jiko la mkaa..shiiit!!
HAKUNAAAAAAAAA KITU KAMA.HICHOOO ATA UNGETOKAA KWA KANGI
TUNAUZA GESI.MIAKA KUMI SASA
 
Duuh!! Kuna sehemu huwa nanunua gesi ya nyumbani mara kwa mara yule muuzaji kanitext asubuhi kwamba gesi imepanda nikadhania labda imepanda kidogo kutoka 47 hadi 50 mana sikumuuliza bei yake ya sasa kumbe bei ya kuuza ni kuanzia 54 elf. Aiseee.

Mtihani huu. 🤔🤔
 
NA HII N YA KAMPUNI MKUU MUUZAJI ANARUHUSIWA KUONGEZA LINGANA NA UNAPOLIPIA KODI UENDE SAWA
 
TUNAWASILIANA NA MIHAN SOON NTAWAJULISHA BEI ZAOO INGAWA N NAFUU KIDOGO AKA TAIFA GAS
 
IKIFIKA.KUPANDISHA ILE N MAKUBALIANO LAZIMA NA MIHAN AKA TGAS WANAPANDISSHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…