tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja