Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Angeenda na baiskeli angeweza kusikilizwa, ameenda na gari za gharama huku nyumba za wapiga kura zimechoka kabisa.
Niliona ninyamaze Ila umeandika kama nilivyowazaAngeenda na baiskeli angeweza kusikilizwa, ameenda na gari za gharama huku nyumba za wapiga kura zimechoka kabisa.
Siku zote mafisi, polini siyo wengi ukilinganisha na nyumbu huko poriniNyumbu wanahangaika🤣🤣🤣🤣🤣
CCM ni kubwa mnoooo kwenu, hamuiwezi tu.
Ni kama ameenda kuwwatukana tu kwamba nyie mammbwa ona nimepiga pesa naenda kua mbunge wenu nipige mihela zaidi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺🍺Angeenda na baiskeli angeweza kusikilizwa, ameenda na gari za gharama huku nyumba za wapiga kura zimechoka kabisa.
We kinyago ushapiga bilioni ngapi had saivi ...Nyumbu wanahangaika🤣🤣🤣🤣🤣
CCM ni kubwa mnoooo kwenu, hamuiwezi tu.
Wakiume kweli wewe?
Kazi ipo aiseeKumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
Upo Sahihi kabisaa mkuuhuyo atakuwa house maid wa roast tamu haziivi
Mbona inaonekana alipanda juu kutafuta mtandao afanye mawasiliano maana humo ndani ya gari network ni changamoto.Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
Ukiona hivi ujue MAGUFURI YUPO HAIKumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
Duh.labda wamekimbilia ndani ya nyumba zao wakiogopa hilo gari maana gari na nyumba hizo pembezoni ni mbali mbali kabisaKumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.