KWamba pesa yake ajengee watu nyumba...??V8 moja - gharama yake inamaliza ujenzi wa nyumba mbili za hapo pembeni kwenye video hiyo...
Nilimaanisha kwamba ukiwaona wanaoombwa kura na hali zao kupitia nyumba zao, utajua kabisa kuna tatizo mahali Fulani katika watunga sera wa nchi hii…KWamba pesa yake ajengee watu nyumba...??
****** wako haujamboNilengeshee puru' lako hilo uone kama kesho jioni hukwenda kujifungua kwenu.
Uko sahihi kamanda kwa muktadha huo.Nilimaanisha kwamba ukiwaona wanaoombwa kura na hali zao kupitia nyumba zao, utajua kabisa kuna tatizo mahali Fulani katika watunga sera wa nchi hii…
Wealth distribution - ni tatizo.
Ifike Siku tuige Kwa nchi ya Norway- mauzo yote ya mafuta yao - hugawiwa Kwa usawa Raia wao wote kwenye kitu kinaitwa sovereign fund.
Itapendeza sana mauzo yote ya madini, gas, makaa ya mawe, almasi na mapato ya watalii- na sisi wa Tanzania tuanze Kupewa mmoja mmoja Kwa formula maalum Kamaa wanavyofanya huko Norway- huu ndio mzizi wa kukata fitna za Akina Rostam na wanamtandao wake - tufaidike sote…
Halmashauri kuu ya ccm taifa ndio impokee si ndio iliyorudisha jina , wafanye hivyohiyo nchi nzima mpaka wanyooke.Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
Jamaa kanuna mdomo kama kibuyuKumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja