tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
labda alikatwa mpendwa wao wakawaletea "dubwasha".Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
Wacha waisome namba eeeeehhh CCM nyuma kwa nyumaaaa.Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
Nyumbu,mgombea anapita kwa shughuli zake,wataka watu watoke,wakati wa kampeni bado,sasa wajitokeze wakati wackampeni bado.Wqngejitokeza mgesema kaanza kampeni mapemaKumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
Huu mwaka Kanisa likisema watu waandamane kuitoa CCM au Jeshi kuingilia kati basi ni rahisi sana kuiangusha CCMKumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
Si wanazo zile za kwenye Waya?Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
AMINA. Yale maombi yote hayawezi kwenda bure. Mungu ni Mungu anayejibu maombi ya wajoli wake. AMEN.Kumeshaanza kuchangamka, mgombea kutoka CCM awasili eneo la tukio bila ya mapokezi kutoka kwa wananchi.
Gari linapita barabarani na hakuna hata mmoja anaetoka nje kumpokea, watu wako bize na kazi zao kama hawamuoni anavyopita barabarani.
View attachment 3452571
Hii hali ikiendelea hivihivi tutaelewana tu, wananchi wameanza kuamka hawataki tena mchezo, muda wa mabadiliko umeshafika na Tanzania mpya inakuja
Wakiume kweli wewe?Nyumbu wanahangaika🤣🤣🤣🤣🤣
CCM ni kubwa mnoooo kwenu, hamuiwezi tu.
Nilengeshee puru' lako hilo uone kama kesho jioni hukwenda kujifungua kwenu.Wakiume kweli wewe?