GE2025 Kazi imeanza, mgombea awasili eneo la tukio bila mapokezi ya wananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
KWamba pesa yake ajengee watu nyumba...??
Nilimaanisha kwamba ukiwaona wanaoombwa kura na hali zao kupitia nyumba zao, utajua kabisa kuna tatizo mahali Fulani katika watunga sera wa nchi hii…
Wealth distribution - ni tatizo.

Ifike Siku tuige Kwa nchi ya Norway- mauzo yote ya mafuta yao - hugawiwa Kwa usawa Raia wao wote kwenye kitu kinaitwa sovereign fund.
Itapendeza sana mauzo yote ya madini, gas, makaa ya mawe, almasi na mapato ya watalii- na sisi wa Tanzania tuanze Kupewa mmoja mmoja Kwa formula maalum Kama wanavyofanya huko Norway- huu ndio mzizi wa kukata fitna za Akina Rostam na wanamtandao wake - tufaidike sote…
 
Uko sahihi kamanda kwa muktadha huo.
 
Halmashauri kuu ya ccm taifa ndio impokee si ndio iliyorudisha jina , wafanye hivyohiyo nchi nzima mpaka wanyooke.
 
Jamaa kanuna mdomo kama kibuyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…