Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hata Tz tusingekuwa na Rais, bado miradi ingekuwepo. Miradi ni kodi za wananchi na haihitaji hata uwepo wa Rais. It is too cheap kumpima Rais Samia kwa miradi iliyopo sasa, infact hata kama kigezo cha uongozi wake kiwe ni miradi, obvious Samia ataonekana amefeli vibaya. Kwanini? Miradi mingi mikubwa bado imelala, haitekelezeki au imejaa upigaji wa kiwango cha kutisha.